any JF member in SHINYANGA??

BAGAH

JF-Expert Member
Jan 17, 2012
4,523
1,060
wandugu nataraji kuwa shinyanga siku ya kesho na kesho kutwa...!ningependa kukutana na Jf member around huko...anioneshe maviwanja niaje niaje!
 
ukifika papilon nitafute , kuna nyama choma na beer hapa,, tunaweza badilishana mawazo.
 
wandugu nataraji kuwa shinyanga siku ya kesho na kesho kutwa...!ningependa kukutana na Jf member around huko...anioneshe maviwanja niaje niaje!

Una maana utaishia Shy bass? Si usogee mbele kiduuchu, ya hapo ndipo tulipo sie.
Sema mapema ili kila tukichinja Kuku Firigisi tukuwekee, firigisi wala weyee ?
 
Nilikuwa hapo Mazingira muda si mrefu nikipata chakula sasa hivi nimesha, navuta vuta muda niingie club hapo Butiama ili nni dump stresses nilizozipata Mwanza.
You just njoo Butiama ila kuonana ni mwiko au tuvae masks
 
Sipati picha alivyolia! Asijali safari sio kifo! Mwambie akuombee ufike salama na urudi salama!

acha tu...afu kanifanya nikose mood ya safari...na vyote nimemfanyia...kweli nimemteka mtt..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom