Any internet provider maeneo ya changanyikeni?

Any internet provider maeneo ya changanyikeni?

Akotia

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2016
Posts
569
Reaction score
1,348
Habari wakuu
Sasa hivi kuna kampuni nyingi za fiber connection ambazo maeneo kama mwananyamala zipo. Mfano TTCL(wanazingua kukufungia),Savanna fiber and airtel fiber.. jsasa nimehamia maeneo ya survey hapa na watoa huduma wa hapa wote hawapo.. je kuna watoa huduma gani maeneo ya hapa?
 
Back
Top Bottom