T TUSAJIGWEGE Member Joined Jan 26, 2013 Posts 14 Reaction score 2 Aug 11, 2013 #1 Naomba msaada kwa anayefahamu kama kweli utumishi wametangaza tena kazi august hii.
Matokeo1 JF-Expert Member Joined Oct 10, 2012 Posts 231 Reaction score 42 Aug 11, 2013 #2 TUSAJIGWEGE said: Naomba msaada kwa anayefahamu kama kweli utumishi wametangaza tena kazi august hii. Click to expand... wametangaza nyingi tu, ila karibia zote ni wakufunzi wa vyuo, kama GPA inaruhusu changamkia hiyooo
TUSAJIGWEGE said: Naomba msaada kwa anayefahamu kama kweli utumishi wametangaza tena kazi august hii. Click to expand... wametangaza nyingi tu, ila karibia zote ni wakufunzi wa vyuo, kama GPA inaruhusu changamkia hiyooo