Any guy here ever used Viagra?


Hivi na wanawake zipo! manake zitasaidia kupunguza mechi za mchangani! Wazoefu watajua umri wa wadada zetu ukisogea kidogo unyumba unakuwaga shuguli! naomba nijuzwe na hili nimfungashie wife aisee! manake kwa wiki mara 2-3 tena kwa kulazimisha! maisha ya ndoa magumu aisee!

na usione mtu anatoka nje ya ndoa ukauliza maswali mengi!
 
Nyie watu na madawa yenu, mnajua kuwa mapenzi sio vita??? Ni starehe???
 
Kuna dawa ya u hakika kabisa. Kuna rafiki yangu wa karibu alikiwa na tatizo hilo akaenda kwa bibi mmoja fundi wa mitishamba akamwambia atumie dawa za aina mbili.1 Mzizi wa ndizi unachemsha kisha unakunywa kama juice. 2 Mizizi ya papai dume unaloweka kwenye maji unaknywa mara mbili kwa siku mambo yaka powa kabisa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…