Any Developing Country Can Do The following to Develop Faster

motonkafu

JF-Expert Member
Dec 2, 2015
1,019
703
1. Linking rural areas and towns with tarmac road to enable the flow of raw materials from production areas to consumers.
2. Provide electricity power in all villages to where economic productive activities are largely done.
3. Build industries in production areas to enable fast processing of raw materials, also to cure the cost of transport.
4.Build schools and hospitals in villages so as to level the gap of availability social services in towns and villages.
 
4.Build schools and hospitals in villages so as to level gap of social services availability in towns and villages.
Hiyo namba mbili ndio kila kitu. Unapoongelea link ya viwanda na na barabara, umeme wa uhakika ni muhimu sana kwenye kuendesha hivyo viwanda.
 
Kabisa ndugu ndo maana kijijini wanashindwa kufanya uzalishaji wa tija kwa sababu ya kukosa umeme, kwa upande wa viwanda wale wenzangu tunaolima chai kule kusini watakua mashaidi viwanda viko town mbali na mashamba halafu Barbara ni mbovu kinachotokea wakati wa kusafirisha chai inaharibika sana
 
Hayo yote ni ya muhimu na yana nafasi zake kwenye jamii.

Huwezi kuwapa watu umeme wakati hawana elimu ya nini cha kuzalisha.
 
Safi sana, hapo hamna chochote cha kuacha nyuma, ili uchumi ukue kwa kasi kuna baadhi ya vitu vya msingi ambavyo hata vingine hajavitaja mleta mada.
Serikali yoyote ile inafaa kuhakikisha umeme wa uhakika, mawasiliano, maji safi ya bomba, elimu kwa watu wake, usafiri bora, usalama na amani n.k.
 
Kabisa wakuu bila kusahau sheria, katiba ia utawala bora
 
1. Linking rural areas and towns with tarmac road to enable the flow of raw materials from production areas to consumers.
2. Provide electricity power in all villages to where economic productive activities are largely done.
3. Build industries in production areas to enable fast processing of raw materials, also to cure the cost of transport.
4.Build schools and hospitals in villages so as to level the gap of availability social services in towns and villages.
Rwanda wamefanya haya tayari wamefanikiwa
 
sawa lakini umesahau elimu, maana kinacho tugharimu sana Tanzania na Africa ni ujinga uliopitiliza
 
Hayo yote ni ya muhimu na yana nafasi zake kwenye jamii.

Huwezi kuwapa watu umeme wakati hawana elimu ya nini cha kuzalisha.
Nadhani kwa tulipo sasa, tuna wasomi wa kila namna hapa nchini, labda nawaha mazingira wezeshi ambayo yanaruhusu kuwekeza elimu yao kwenye uzalishaji halisi
 
1. Linking rural areas and towns with tarmac road to enable the flow of raw materials from production areas to consumers.
2. Provide electricity power in all villages to where economic productive activities are largely done.
3. Build industries in production areas to enable fast processing of raw materials, also to cure the cost of transport.
4.Build schools and hospitals in villages so as to level the gap of availability social services in towns and villages.
Bila Kilimo hakuna maendeleo ni hatua kama mtoto anavyotambaa na kisha kutembea. Is the only economic activity ambayo kila mwanachi anaweza kupractice but we need market (local and international ) that is what Kenya is doing na sio nchi masikini tena..! Malaysia did the same.. Europe did the same.... KENYA are biggest export of Agricultural commodities kusini mwa jangwa la Sahara ukiondoa South Africa. Sis tunahimiza mbolea za ruzuku wanasiasa wapige... Kilimo cha mahindi na kula ugali ndio wanachokijua.. We have the land water, Rasilimali.. But they think with their balls.. Shame!!!!
 
True say mkuu ndo maana kuna Uzi niliwahi kusema somo la kilimo liafundishwe shuleni katikati levo zote, kwa huu Uzi hili wazo litajikita kwenye pointi ya kwanza niliposema 'to easen the flow of raw materials' mojawapo ya raw materials za kijijini ni mazao ya kilimo
 
Mkuu hapo umesema vizuri kabisa.. naamini magufuli atasoma.. au hata kijana wake akisoma asikose kumsimulia wakati wanapata chakula cha jioni
 
Nini maana halisi ya neno "maendeleo" katika nchi ya Kenya.?? Barabara za juu na ongezeko la deni kwa taifa.?? Kukithiri kwa vitendo vya rushwa na uvamizi dhidi ya raia wa kawaida.?? Aina gani ya speed inatumika kutekeleza haya.!!

Wamejitahidi sana kusambaza umeme vijijini , pia wakulima wa chai wa Kenya wametupiga bao parefu kuna bwana shamba aliniambia wakulima wa chai Kenya wanafwata weather statistics kujua kama chai inatakiwa kuchuma wakati bongo kila mkulima anaenda shambani kuchungulia kama tayari au bado
 
Malengo ya milenia ni makusudio ya jumuiya ya kimataifa kwa nchi za ulimwengu wa tatu, kuziweka kwa pamoja bila kuungalia mahitaji ya nchi moja moja. Ni masharti kwa nchi masikini baada ya kupokea mikopo ya maendeleo kutoka kwa nchi zilizoendelea. Kwa hiyo sio jambo la kujivunia, kutekeleza masharti ya nchi tajiri bila kuangalia uhitaji wa nchi yako.

Kwa Rwanda, upunguzaji wa umasikini ni moja ya faida zinazopatikana wakati demokrasia na maendeleo yanapotulia kwa pamoja na kuhusishwa kikweli na maisha ya watu. Rwanda imekuwa ikifanya vipi katika maeneo ya maendeleo, uletaji wa demokrasia na uletaji wa utulivu hasa kwa jamii ya kihutu na mahasimu wa rais Paul Kagame.?? Maendeleo katika jamii iliyojaa uoga, ni ukiritimba wa serikali kwa watu wake.!!

Kusambaza umeme kwa baadhi ya vijiji na kuwawezesha wakulima wa chai kutambua taarifa za hali ya hewa, haitoshi kusema Kenya imepiga hatua za kimaendeleo. Kwani kuna vigezo vingi vya kuangilia na kuainisha uchumi wa nchi kwa watu wake. Deni la taifa linazidi kukua kwa kasi na maendeleo ya Kenya hayaakisi maisha ya wakenya walio wengi. Upatikanaji wa katiba mpya sio msaada kwa raia, kwani bado kuna matatizo mengi ya kiutawala katika serikali ya Kenya.
Asante mkuu kwa uchambuzi yakinifu.kwa hiyo rwanda tuiweke katika kundi lipi developing countries or developed countries
 
Mkuu umesahau Kenya July wametoka kwenye ulimwengu wa tatu sasa wapo kwenye kundi la nchi zenye uchumi wa kati kwa nini isiwe tz, tumetaja izi nchi mbili kama mfaano wa kuiga kwa ukanda huu tuige mazuri mabaya tuache mf. Tunaweza tukaiga Kenya kwa kurudisha somo la kilimo shuleni
 
Back
Top Bottom