Antony Joshua Vs Andy Ruiz 2, tukutane hapa kwa updates

Aliewadanganya wabongo ukiwa umekomaa basi wewe Bondia anawadanganya. Wanarusha rusha mikono hovyo tu ulingoni.
aiseeee wana tumia vigezo gani kupeleka hao mabondia uyu
mjomba Seleman Said katokea wap wazee round ya1 tu chalii afu katoto ka18 yrs soft soft mojmba chalii

apo wangepelekwa wakina mfaume watoto wa manzese wale ama kina twaha kiduku kama vip
 
Inapotea fursa kubwa namna hiyo tena katika world class platform inatakiwa wapelekwe watu wa uhakika, huyu mjomba side katudhalilisha sana, watanzania wote tumeonekana wachovu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom