Tronics guru
JF-Expert Member
- May 19, 2016
- 10,446
- 8,082
Labda yeye ndiye mhuni kwani hana hiyo legal authority. Pili kirefu cha ANTIFA ni Anti- Fascism ikiwa na maana ya wapinga tawala zisizo za kidemokrasia kama za kifashisti, Kimla na kidikteta.Wakuu habari za muda mchache uliopita POTUS kawatangaza ANTIFA kama kikundi cha kigaidi. Huko Twitter nimeona wengi wakimpongeza sana na nimejaribu kuwa Google hawa jamaa (ANTIFA)sijapata maelezo kamili lakini ni kama wahuni tu fulani.
Mkuu 'will be designing' haina maana wameshatangazwa kuwa magaidi banaWakuu habari za muda mchache uliopita POTUS kawatangaza ANTIFA kama kikundi cha kigaidi. Huko Twitter nimeona wengi wakimpongeza sana na nimejaribu kuwa Google hawa jamaa (ANTIFA)sijapata maelezo kamili lakini ni kama wahuni tu fulani.
Naomba wajuvi mdadavue zaidi hapa
View attachment 1464913
Huyu mzee kachanganyikiwa, mbona asiwadesignate alt-right white supremacist na neo nazi kama magaidi. Si kila akitembelea majimbo wanamopatikana anaongea maneno ya kuwasupport.Labda yeye ndiye mhuni kwani hana hiyo legal authority. Pili kirefu cha ANTIFA ni Anti- Fascism ikiwa na maana ya wapinga tawala zisizo za kidemokrasia kama za kifashisti, Kimla na kidikteta.
Wamarekani kwa ujumla wao hawapendi tawala za kifashisti, hivyo kuita wapinzani wa ufashisti magaidi haiji kichwani. Ikitokea hivyo atakuwa amewaita Wamarekani wote magaidi na wapinga demokrasia.
Na hao wanaompongeza lazima watakuwa wahuni wenzake na kwani ni wazi hawaijui katiba ya Marekani na misingi ya utawala. Nafikiri woga umeanza kumuingia na ameanza kubwabwaja hovyo...tazama hapa...
Trump was briefly taken to an underground bunker during the White House protests. Yawezekana alikuwa aki-tweet ujinga huo akiwa amejificha kwenye underground bunker na leo maandamano yanazidi kuitikisa White House..
The U.S. government does not designate purely home grown as terrorist organizations.