Sometime hizi antivirus ni usanii tu. Na real theat siku hizi kwenye internet sio virus bali ni spywares and the like.
So hizi kampuni zinajitahidi kujitangaza na kuwachanganya wateja. Infactkuna antivirus nyingi zinatoa
false positive nyingi kuwarubuni watu kuwa zinafanya kazi vizuri.
false positive ni pale antivrus inakupa mssage imedetect na kufutavirus kumbe file inalosema wala halina madhara. Mfano ni kama software za key generators. So usi judge virus tu kwa kutoa ujumbe wa tahadhari
Soma hapa upate mwanga
Antivirus software - Wikipedia, the free encyclopedia
Pia soma review za watu ujue antivirus inatumia memory kiasi gani. Kuna virus nyingine nzuri but zinatumia CPU na memory sana.
kapersky ni one of t resouce intensive antivirus software . Kwenye kundi hili pia kuna antivirus kama
Norton na
Macfee.
Microsoft wana Antivirus
Microrsot security essential amabyo kwa desktop user binafsi sioni tatizo lake na iko poa sana tu kama zilivyo
Avast.
Hiyo
panda sijawai kuitumia soma review za watu ujue but ukimua. nyingine jaribu kucheki Microsoft security essentials na Avast.