ANTI TOKOMEZA UJANGILi

ANTI TOKOMEZA UJANGILi

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,114
Reaction score
34,956
1521807_696280370412448_430031286_n.jpg
 
jamanii hivi hawa majangili hawaoni aibu hata huruma mnyama mkubwa kiasi hicho kumuua kwa ajili ya pembe tuu.shame on them!
cha ajabu kwenye hiyo operesheni ni pale askari wanapowapiga risas ng'ombe na wakati ng'ombe na nyati wote wanakula majani ng'ombe anarud bomani na nyati anarud porini sasa kwann ng'ombe auwawe? hii inauma sana.....
 
jamani ki....na! ki....na! ki....na! ki....na! wonee huruma wanyama utajiri ulio nao unatosha baba, chonde tunakiomba tembo wataisha
 
Zinapakiwa kwenye meli za kijeshi za china zinazozuga kuja kutoa mafunzo kwa jeshi letu.
 
Wakati Kenya walipozichoma moto pembe zilizokamatwa tuliwaona wamekwenda nyuma badala ya kuzihifadhi vyenginevyo walifanya jambo zuri kwani hazipo tena hapa kwetu zikikamatwa zinahifadhiwa ili zifanyiwe utaratibu mwengine wa safari
Zinapakiwa kwenye meli za kijeshi za china zinazozuga kuja kutoa mafunzo kwa jeshi letu.
 
wakati kenya walipozichoma moto pembe zilizokamatwa tuliwaona wamekwenda nyuma badala ya kuzihifadhi vyenginevyo walifanya jambo zuri kwani hazipo tena hapa kwetu zikikamatwa zinahifadhiwa ili zifanyiwe utaratibu mwengine wa safari

ccm juuu!
 
Back
Top Bottom