Alfred Kiwuyo
Member
- Oct 21, 2010
- 27
- 1
toka jaribion la mapinduzi turkey wamekuwa obsessed sn na gulen, wanajitahidi kuonesha kuwa wanafanya vitu sahihi lakn bahat mbaya wenzao wa europe/us hawakubalian nao..wao kama wanaendelea ma fagia fagia ya pro gulen waendelee tu mpk wamalize wala wasipoteze mda kuwaelezea wazungu washaonesha hawaelewi...