Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 71,107
- 94,301
usoni kavaa kama 'haloween party'!!!!
Hata asingevaa chochote bado uso wake ni kinyago tosha kwenye haloween party!!!
usoni kavaa kama 'haloween party'!!!!
Hata asingevaa chochote bado uso wake ni kinyago tosha kwenye haloween party!!!
daddy punguza ukali wa maneno!
anti ezekiel kaamua kwenda kinyume nyume. Kaanza na ndoa, imefuata kp, then send fool or sorry, send off, mwisho reception.
Sio lazima kufuata formula ile ile kila siku (kwa mujibu wa anti)
Hata asingevaa chochote bado uso wake ni kinyago tosha kwenye haloween party!!!
bhole bhole nkam, ulipo?
HaHahahahahahah yeye mwenyewe ni mfano wa kinyago,i wonder diz ......
Juz kati mliweka uzi kuwa kaolewa.....,leo mwasema anafanya send off,.....Vipiiiiiiii?
hii yote ni matumizi halisi ya nyuma kwanza mbele baadae
ni hivi ameolewa tayari,then imefuata kibao kata,kitchen party tayari na send off ilikuwa jmosi hii serena hotel dsm,then party inafanyika dubai....mpangilio wake uko kinyume kaanza na ndoa......
Asante Lucy kwa kumuelewesha bidada mwenzio
Sherehe ya Kibao kata ndo sherehe gani hiyo jamani, mi najua kitchen party, sendoff then harusi, hebu wanadalesalamu nifungueni
hii movie itakuwa kali
ya ya ya ya, nakubaliana na wewe kwamba Mzeya amepata jiko la ukweli, ata enjoy life..Aliyooa anti ezkiel amepata mke bora atafanikiwa pamoja naye sanaaa!
So by kinyume nyume unamaanisha mwishowe atarudi kuwa single again, ok nimekusoma..
hii yote ni matumizi halisi ya nyuma kwanza mbele baadae