Hawa wakuu wa Mikoa wawili Mh. Anthony Mtaka na Aggrey Mwanri wanafaa kupewa mkoa wa Dar.
Mh Mtaka anafaa sana. Namwona kama kijana mbunifu sana na mwenye busara katika utendaji wake.
Kwa upande wa Mwanri ni mfuatiliaji mzuri sana wa kazi ni mwajibikaji sana ila kanda anayotoka itamnyima mambo mengi.
Angalizo muhimu sana hiliAnthony Mataka anauzoefu wa muda mrefu lakini jamani jamani jamani wahudumu wote wawe wa kike jamani.
Aise unaakili sana, sema sina hakika kama wanatokea kanda yetu.Mimi nashauri aliye kuwa mkuu wa mkoa wa Dar mzee Meck Sadiki, au aliye kuwa mkuu wa wilaya ya Ilala Mzee Mushi ambae sasa yuko Babati mmoja wao awe RC Dar. Hawa wana uzowefu wa kutosha na lile jiji.
Mwanri atapeleka yale masifa yake ya bungeni.
Angalizo muhimu sana hili
Hahahaha cheka kwa dharaaaau!!Hawa wakuu wa Mikoa wawili Mh. Anthony Mtaka na Aggrey Mwanri wanafaa kupewa mkoa wa Dar.
Mh Mtaka anafaa sana. Namwona kama kijana mbunifu sana na mwenye busara katika utendaji wake.
Kwa upande wa Mwanri ni mfuatiliaji mzuri sana wa kazi ni mwajibikaji sana ila kanda anayotoka itamnyima mambo mengi.
Unamshauri nani?Mimi nashauri aliye kuwa mkuu wa mkoa wa Dar mzee Meck Sadiki, au aliye kuwa mkuu wa wilaya ya Ilala Mzee Mushi ambae sasa yuko Babati mmoja wao awe RC Dar. Hawa wana uzowefu wa kutosha na lile jiji.
Mwanri atapeleka yale masifa yake ya bungeni.