Anthony Lusekelo: Haijawahi kutokea dunia kwa nchi kununua ndege nane kwa mpigo

J Mzee wa upako alielezea alivyo kuwa akiimba msitari wa mbele kwenye mikutano ya CCM ambampo kuthibitisha hill alitoa kibwagizo cha wimbo wa CCM. Inaonesha wazi kuwa mambo hayaendi sawa kiasi cha muonekano wake kuwa si ule tuliouzoea kumuona, ucheshi haupo tena.

Hana akili huyu Lusekelo, anadhani kila mtu ngumbalu kama yeye. Hivi anajua kwamba mashirika kama Emirates huwa wanaagiza ndege 100 kwa mkupuo, tena sio hivi vidogo vi-bombardier, ni zile wide body. Aulizie Ethipoian Airlines waliagiza ndege ngapi toka Boeing za Dreamliner kwa kuzilipia kwa mkupuo. Na ajiulize order ya Emirates ya Boeing 777 kwa Boeing ilikuwa ya ndege ngapi na walilipa kiasi gani - maana walitoa order ya ndege 150 za Boeing 777 kwa wakati mmoja, na 50 za Airbus 380.

Hata watu kama South Affrican Airways walilipia ndege 9 za Airbus 340-600 kwa mkupuo, halafu anasifia ndege sijui nane mapangaboi.
 
Atakuwa hayuko sawa huyo hakika.Maradhi yashaanza kumtafuna.Ndege nane,wakati kuna nchi zinaagiza ndege zaidi ya mia moja kwa mpigo!!.Nchi kama Iran iliagiza ndege mia moja kutoka Airbus,achilia mbali kutoka Boeing.China wameagiza ndege karibia 60 kutoka Airbus, achilia mbali kutoka Boeing.Halafu anakuja mnywa konyagi mmoja na kutapika uharo.Mungu mnusuru mja wako Lusekelo
Huyo inaelekea alikuwa kalewa konyagi kama kawaida yake
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom