Anthony Diallo unamjua huyu?

Kwanini haya hamuyasemi kabla ya mtu kuvuka mistari yenu ya upumbavu ???? Embu waacheni watu waseme ukweli bwana

Wewe nae punguza ujuaji,si uangalie kwanza Comment hii imepostiwa hapa lini kabla hujaanza kupuyanga na kumkashifu mwenzio,haya wewe na yeye nani hapa mpumbavu?
 
Du...!.
P
 
Amesomea nursing? Yule ni Dr Antony Diallo,uliona wapi nesi mwanaume?

[emoji1787], kipindi nipo standard 3 nilikuwa nafahamu kuwa nurse anatakiwa awe mwanamke na Dr.anatakiwa kuwa mwanaume....Sema wewe umechelewa sana mkuu[emoji1787].
 
Pasua jipu baba, tunasubiri habari kamili.
 
Pole sana.Viongozi wote wakubwa wanafanya biashara na ktk kujilinda kisiasa hawapendi waonekane.Mara nyi gi hutumia kampuni ambazo ndani yake kuna wana hisa kuna wakati ktk wana hisa huoni jina lake ila wanawatumia wanasheria .Ndio maana huwezi ona jina la JK au Mkapa kwenye biashara yoyote hata kama ni majofity share holders.Kama Nyirabu aliwekeza bila maandishi then it is possible (kitu ambacho siamini)
 
Fake news..sio kweli Nyirabu alikuwa Gavana kuanzia 1974-1989! Ni uwongo uliotukuka
 
Mletauzi siku siku ukitaka kufukua kaburi la mjaluo Lameck Ailo naomba unitag
 
Ungekuwa na lakuandika usingekuja kuomba mtu akujibu huku labda humu hayumo. Ungemwandikia barua na kumpelekea nyumbani kwake ukampatia mkononi.
Ameambukizwa uwandawazimu huyo.
vipi wewe bibie Chanel umenusurika kweli au jalada lipo Mirembe😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…