Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 17,020
- 26,200
umeona eeh, kuna siku atazungumza mtu mtatajana hadi aliye mnanii Lissu, Azory na Saa saba jumlisha lisaa limoja.Kwanini haya hamuyasemi kabla ya mtu kuvuka mistari yenu ya upumbavu ???? Embu waacheni watu waseme ukweli bwana
Hahaha. Nimefanya kazi idara ya afya for 7 yrs kabla ya kuacha wengi hapa wanaongea bila kujua kinachoendelea humo. Ati NEC lazima awe mwanamkedah , ndo naskia leo toka kwako, kwamba kwa akili zako za makalioni huko MATAGA mnajua NESI LAZMA AWE MWANAMKE? aisee,
Kusema ukweli kwamba mtu alikuwa KICHAA nayo ni shidaHuyo Diallo hana usafi wowote wa kumsema Magufuli! Tumbav zake
Labda pia RutihindaHivyo hilo swali lako la tatu ni kweli ulidhamiria kumtaja Nyirabu au Balali?
Nyirabu hakufia Marekani- WEWE NI MUONGONi hivi!
Sababu ya kuleta maswali haya ni kwamba. Enzi za Nyilabu akiwa BOT ilikuwa hawaruhusiwi kuwa na Biashara, hivyo Gavana Aliamua kumtumia Antoni Dialo katika uwekezaji wake. Na hivyo aliazisha kampuni kubwa ikiitwa SAHARA Communication ilikuwa inauza vifaa vya umeme under licence ya kampuni ya Ujerumani. Sasa wakati wote ilikuwa akifika Mwanza ilikuwa lazina afike kuona maendelea ya kampuni.
Lakini wakati Gavana akiwa kazini aliugua na kupelekwa kutibiwa nje Marekani lakini bahati mbaya alifariki na alipofariki kwa kawaida Mali zote zilibakia kwa Dialo. Na hadi kuabadili kampuni! Sasa kwa kuwa aliaminiwa Je aliweza kuwahusisha ndugu wa marehemu?
Na vipi kuhusu alipo aliyekuwa anafuatilia suala la mali hizi? Au Dialo anaendelea kuwa mwangalizi?
Bado nafuatilia nitakuleteeni ishu nzima.
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuh jamaa anadaiwa huyuHivi hile 4.5B ya TRA ameilipa lini? Maana kabla ya siku 14 za mnada alisharudishiwa mjengo na kuwa hewani
Kumbe alikua Nesi,Now I can see the light. Diallo alikuwa mwanafunzi wa nursing miaka ya 80s hapo Bugando, hakumaliza chuo tukasutukia anaanzisha Sahara iliyokuwa inatengeneza birika ma majiko ya umeme..... Ukiuliza huyu amepata wapi utajiri huu unaambiwa alikuwa mchoji na aliupata Maganzo...... Naachia hapa niendelee kusoma
Sasa nimekuelewa ,Ni hivi!
Sababu ya kuleta maswali haya ni kwamba. Enzi za Nyilabu akiwa BOT ilikuwa hawaruhusiwi kuwa na Biashara, hivyo Gavana Aliamua kumtumia Antoni Dialo katika uwekezaji wake. Na hivyo aliazisha kampuni kubwa ikiitwa SAHARA Communication ilikuwa inauza vifaa vya umeme under licence ya kampuni ya Ujerumani. Sasa wakati wote ilikuwa akifika Mwanza ilikuwa lazina afike kuona maendelea ya kampuni.
Lakini wakati Gavana akiwa kazini aliugua na kupelekwa kutibiwa nje Marekani lakini bahati mbaya alifariki na alipofariki kwa kawaida Mali zote zilibakia kwa Dialo. Na hadi kuabadili kampuni! Sasa kwa kuwa aliaminiwa Je aliweza kuwahusisha ndugu wa marehemu?
Na vipi kuhusu alipo aliyekuwa anafuatilia suala la mali hizi? Au Dialo anaendelea kuwa mwangalizi?
Bado nafuatilia nitakuleteeni ishu nzima.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ilikuwa mambo ya maabara mkuuNow I can see the light. Diallo alikuwa mwanafunzi wa nursing miaka ya 80s hapo Bugando, hakumaliza chuo tukasutukia anaanzisha Sahara iliyokuwa inatengeneza birika ma majiko ya umeme..... Ukiuliza huyu amepata wapi utajiri huu unaambiwa alikuwa mchoji na aliupata Maganzo...... Naachia hapa niendelee kusoma
alijiongeza akasoma mambo ya biashara ndiko PhD yake ilipo. Mzee mbishi mwenye kiu ya mafanikio.Kumbe alikua Nesi,
Huo u dokta kaupata lini??
Au nisawa na Prof. Maji marefu??
Ni kweli kwamba alidhulumu Mali za gavana wa BOT??alijiongeza akasoma mambo ya biashara ndiko PhD yake ilipo. Mzee mbishi mwenye kiu ya mafanikio.
Ni kweli kwamba alidhulumu Mali za gavana wa BOT??
Bro kama unabisha kuwa dialo hana phd waandikie university of newcastel uwaulize kama ni kweli au uongo iwapo hiyo phd waliyompa,maana sio ya kupewa bali aliisomea kabisaKumbe alikua Nesi,
Huo u dokta kaupata lini??
Au nisawa na Prof. Maji marefu??
hawajui kuwa huyu Mzee ni mbishi mwenye kiu ya mafanikio.Bro kama unabisha kuwa dialo hana phd waandikie university of newcastel uwaulize kama ni kweli au uongo iwapo hiyo phd waliyompa,maana sio ya kupewa bali aliisomea kabisa
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Tupakulie Mkuu tumekaa mkao wa kulaNaomba kuuliza maswali kadhaa kwa Ndugu Anton Dialo.
1. Unamfahamu aliyewahi kuwa Gavana wa BOT enzi ya utawala wa Hayati Mwl Nyerere?
2. Unaifahamu kampuni iliyokuwa inafanya biashara ya vifaa vya umeme wakati ikiitwa SAHARA Communication?
3. Hivi unaweza kutueleza nini Kikitokea baada ya Gavana Nyilabu alipokwenda kutibiwa nje ya nchi na kufariki dunia?
Yangu ni haya tu nikijibiwa ndo nitaazisha mjadala. Na hata kama sitajibiwa nitaazisha pia ili kuna Janbo tulijue kuhusu mtu huyu aliyetutangulia mbele za haki.
Nae Covid ilimu-RIP.Vifo vya magavana wa BOT vinakuwaga na Utata sana,Benno ndulu anajua kula na vipofu ndio maana mpaka sasa yupo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Chukua huu muunganiko halafu endelea kuuliza kwingine, Mimi usiniulize tena.Ni kweli kwamba alidhulumu Mali za gavana wa BOT??