Anthony Diallo unamjua huyu?

Amesomea nursing? Yule ni Dr Antony Diallo,uliona wapi nesi mwanaume?
 
Ni bora ungeanzisha tu huo uzushi,kwa sababu hata wewe unajua Dr.Diallo hatakujibu
 
Duh mkuu usiwe unabisha kama hujui, nesi wanaume wapo wengi tu
Najua mkuu,nimesema hivyo makusudi,nimekumbuka vijijini wengi hufikiri nesi ni mwanamke halafu Dokta ni meantime, huko nyuma tuliaminishwa kuwa huyu jamaa ni PhD holder hadi Bwana Msemakweli alipomuumbua kwenye ile list ya mafisadi wa elimu kumbe jamaa ni nesi aliyetoroka mafunzoni
 
Gavana wa BOT by the hakusaidii kitu, kama mnajua CCM mnapeana tenda, siyo enzi za Nyerere tu hata sasa Nyumba kubwa inalishwa na SYLVESTER KOKA, alikuwa mbunge wa CCM kibaha.
Tenda zaidi ya 95% huwa ni za kupeana .
Nyumba 300 za Polisi amejenga Rotam Aziz wa CHADEMA na Mwendazake alizikataa, sasa Samia wa CHADEMA amesema zihamiwe, zipo Shoppers Mikocheni na Kunduchi kwa Mwamunyange, zinabeba familia 350 za maafisa wa Polisi , ni CHADEMA hao.
ABOOD mbung wa CCM miaka zaidi ya 20 sasa mabasi yake ndiyo tu yanabeba kamati za bunge, nchi nzima.
CCM ni ile ile, like father like son.
 
Kwanini haya hamuyasemi kabla ya mtu kuvuka mistari yenu ya upumbavu ???? Embu waacheni watu waseme ukweli bwana
 
Asante jaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…