Anthony Diallo unamjua huyu?

Wewe mtoto wa Nyilabu ndio umeona uje unidhalilishe huku au?Mimi Diallo namjua mzee wako vizuri.
Emu tuyamalize haya kifamilia nimeomba namba ya account ya dada yako hajanitumia, nina millioni 77 apa nataka nikupe
ni bipu saivi
 
Teh teh teh teh teh teh teh teh parakata! Napita tu. Wacha nifukuzwe kazi maana hata mshahara wenyewe n wa mafungu. Hii issue n ukwl 100% mbona hata marafiki zake wote wanajua hata naniiiiiii.................

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo sio tatizo kijana wangu. Nimeshaagiza waongeze mshahara asilimia42 kila idara. Wafanyyakazi wng wote ni familia yng. Tulikuwa na matatizo lakin tunyashughulikia.
nirushie namba yako PM kuna laki7 Mpesa yng ukafurah weekeng pale goldcrest
 
Now I can see the light. Diallo alikuwa mwanafunzi wa nursing miaka ya 80s hapo Bugando, hakumaliza chuo tukasutukia anaanzisha Sahara iliyokuwa inatengeneza birika ma majiko ya umeme..... Ukiuliza huyu amepata wapi utajiri huu unaambiwa alikuwa mchoji na aliupata Maganzo...... Naachia hapa niendelee kusoma
 
Inaonekana wewe ni ndg au MTU wa familia ya Charles Nyirabu sasa nimepata picha
Jamaa anamaanisha kuwa Nyirabu alizichota akampa Diallo aanzishe biashara siyo!!?

Maana Sahara ndiyo imekuwa shirika la Diallo siku zote ........... ila hili la Sahara Communication

Najaribu kuunganisha dots kwa kuwa jamaa kafukua kaburi lakini bado hajalifikia jeneza!!
 
duhhhh. mambo yakianza kuharibika huwa hayasimami. but haijailishi aliiba au alizulumu, the ability to run that business is with dialo. kunawengi huwa wanapata pesa but zinaisha bila la maana
 
..Hivi ndiyo ulitakiwa uongee.....mimi binafsi niliwahi kuuliza kiwanda hiki kwa nini kilifungwa ghafla na kilikuwa na bidhaa bora sana kwa wakati huo nakumbuka, lakini majibu mpaka leo sina.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
NYINYI WOTE WAOGO- DM INVESTMENT, MAJIKO YA SAHARA NA SAHARA COMMUNICATION-
 
Pole sana nina maana kubwa sana hujui
 
..Hivi ndiyo ulitakiwa uongee.....mimi binafsi niliwahi kuuliza kiwanda hiki kwa nini kilifungwa ghafla na kilikuwa na bidhaa bora sana kwa wakati huo nakumbuka, lakini majibu mpaka leo sina.

Sent using Jamii Forums mobile app

Huyu jamaa kuna ushahidi mwingi wa kwamba alidhurumu mali ya bwana mkubwa. Na alitokea kumwamini sana kutokana na mishe nyingi gavana alikuwa anamtumia sana kwenye mishe nyingi sana. Mwanzo alimtumia kwenye dr..gs lakini baadae ndo akamuweka kamapuni kwa makubakiano maalum.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…