Anthony Diallo unamjua huyu?

Kumbe hata Sahara Communication sio yake!! Ndo maana huwa siamini matajiri wa kiafrika, unakuta anahamasisha ujasiriamali wakati yeye ana miliki mali zisizo halali.
gwajima alikuwa na shaka hadi uraia wake...no wonder alitetea sana mwenzao wa kanda maalumu pamoja na bashite, hadi na phd yake alikuja hapa siku moja anatuambia ati anaamini bashite ni illuminant/usalama mwenye majina anonymous, hivi usalama wa taifa anaweza kuwa empty headed kiasi kile? kama alizulumu mali za watu arudishe.
 
Christopher Nƴaraɓu haƙufariƙi aƙiwa gavana ɓali alikuwa ni ɓalozi na nɗio maana alikuwa anaitwa Ɓalozi Christopher Nƴiraɓu
 
Ila kuhusu issue hii ni kweli nimewahi kuisiƙia sana ɓy the time naishi Mwanza wakati huo kampuni hii iƙiitwa Sahara Marƙeting iliƙuwa inasifiƙa sana ƙwa kutengeneza majiko ƴa Umeme ya sahara na zaiɗi hata vifaa vƴa raɗio na TV nasiƙia ƙampuni hii ilivinunuaga kitamɓo sana kaɓla ƴa mhusika hajafariki then ɓaaɗa ƴa kufariki nɗio iƙawa kama ilivƴo sasa
 
3: Hata mwl alienda kutibiwa nje hakurudi Mzima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…