Matonya Mazengo
JF-Expert Member
- Jul 30, 2017
- 235
- 141
Yawezekana hata gavana unaetaka kumsema humfahamu kabisa, katika kamusi ya kiswahili hakuna neno ''vinakuwaga'Vifo vya magavana wa BOT vinakuwaga na Utata sana,Benno ndulu anajua kula na vipofu ndio maana mpaka sasa yupo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilidhamilia kumtaja Nyilabu.Hivyo hilo swali lako la tatu ni kweli ulidhamiria kumtaja Nyirabu au Balali?
unakitu unataka kutuambia tuambie basi mkuuNaomba kuuliza maswali kadhaa kwa Ndugu Anton Dialo.
1. Unamfahamu aliyewahi kuwa Gavana wa BOT enzi ya utawala wa Hayati Mwl Nyerere?
2. Unaifahamu kampuni iliyokuwa inafanya biashara ya vifaa vya umeme wakati ikiitwa SAHARA Communication?
3. Hivi unaweza kutueleza nini Kikitokea baada ya Gavana Nyilabu alipokwenda kutibiwa nje ya nchi na kufariki dunia?
Yangu ni haya tu nikijibiwa ndo nitaazisha mjadala. Na hata kama sitajibiwa nitaazisha pia ili kuna Janbo tulijue kuhusu mtu huyu aliyetutangulia mbele za haki.
Sent using Jamii Forums mobile app
haya
Ni hivi!
Sababu ya kuleta maswali haya ni kwamba. Enzi za Nyilabu akiwa BOT ilikuwa hawaruhusiwi kuwa na Biashara, hivyo Gavana Aliamua kumtumia Antoni Dialo katika uwekezaji wake. Na hivyo aliazisha kampuni kubwa ikiitwa SAHARA Communication ilikuwa inauza vifaa vya umeme under licence ya kampuni ya Ujerumani. Sasa wakati wote ilikuwa akifika Mwanza ilikuwa lazina afike kuona maendelea ya kampuni.
Lakini wakati Gavana akiwa kazini aliugua na kupelekwa kutibiwa nje Marekani lakini bahati mbaya alifariki na alipofariki kwa kawaida Mali zote zilibakia kwa Dialo. Na hadi kuabadili kampuni! Sasa kwa kuwa aliaminiwa Je aliweza kuwahusisha ndugu wa marehemu?
Na vipi kuhusu alipo aliyekuwa anafuatilia suala la mali hizi? Au Dialo anaendelea kuwa mwangalizi?
Bado nafuatilia nitakuleteeni ishu nzima.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kaka Paschal Mayalla anafahamu zulumati yote hiyo ngoja ajeNaomba kuuliza maswali kadhaa kwa Ndugu Anton Dialo.
1. Unamfahamu aliyewahi kuwa Gavana wa BOT enzi ya utawala wa Hayati Mwl Nyerere?
2. Unaifahamu kampuni iliyokuwa inafanya biashara ya vifaa vya umeme wakati ikiitwa SAHARA Communication?
3. Hivi unaweza kutueleza nini Kikitokea baada ya Gavana Nyilabu alipokwenda kutibiwa nje ya nchi na kufariki dunia?
Yangu ni haya tu nikijibiwa ndo nitaazisha mjadala. Na hata kama sitajibiwa nitaazisha pia ili kuna Janbo tulijue kuhusu mtu huyu aliyetutangulia mbele za haki.
Sent using Jamii Forums mobile app
kuna kitu,,,loading.......................................Naomba kuuliza maswali kadhaa kwa Ndugu Anton Dialo.