Anthony Diallo azushiwa UWONGO!

Fumadilu Kalimanzila

JF-Expert Member
Dec 10, 2016
1,719
5,368
Mimi FUMADILU KALIMANZILA wa kijiji cha Mwanduhitinje nimefadhahishwa na kusikitishwa sana na kitendo cha uzushi kilichofanywa na Mwana JF mwenzetu anayejiita SACO ! Huyu SACO alichofanya ni ku-Copy na ku-Paste uchambuzi wangu nilioufanya humu Jamiiforums juzi chini ya kichwa kisemacho "Watanzania hatumjui RC Paul Makonda"?! na kudai Mheshimiwa Antony Diallo anena kuhusu yanayoendelea Nchini! UZUSHI MKUBWA!!

Ndugu zangu Watanzania ,kama mtakumbuka katika Uchambuzi wangu niliwafananisha Watanzania walio wengi na Mnyama mmoja Mkubwa wa ajabu mwenye umbo kubwa sawa na Uwanja wa Mpira wa Miguu lakini mwenye kichwa kidogo mithili ya bakuli ya kulia Supu ! Mnyama huyo uwezo wake wa kufikiri ni mdogo sana na hawezi kuhisi chochote mpaka umguse kichwani! Na nikasema "Their brains are very small to entertain two big events at once! They must drop one event to entertain the other! Watu kama hawa akina SACO ndio mfano wa huyo Mnyama! Hawana uwezo wa kuruhusu vichwa vyao kufanya kazi nje ya box!

Nilisema Nchi hii mambo mengi yanaenda kwa series ya MATUKIO moja kufunika lingine na hakuna impact yoyote positive ya kutegemewa! Katika uchambuzi wangu nilizungumza mengi kwa mtindo wa "MAFUNZO" na "HYPOTHESIS" ikiwemo "KUKURUPUKA KWA NAPE NNAUYE" na hatimaye "Mtu Smart" Dr. JPM akamfanyia "timing" AKAMTUMBUA kabla hajafanya "damage" aliyokusudia "KAMA ILIKUWEPO"! Waswahili wanasema ukitaka kumchinja KOBE basi "UWE NA TIMING"! NAPE NNAUYE has gone for good ! His bounce back will depend on various circumstances may be after Dr.JPM's tenure!

Samahani kwa wale ambao "MAYAI" hayapandi,ujue mimi huku Mwanduhitinje niko English course kwahiyo mtanivumilia nikiwa natupia "MAYAI' kidogokidogo!

Anguko la NAPE NNAUYE nililiona mapema na sasa wale Watanzania wapenda matukio wanajaribu kutafuta tukio la kufunika la NAPE NNAUYE! Na sasa wanamtafuta MWIGULU NCHEMBA ! My Brother Mwigulu Nchemba I known you very well and your future Dreams,though you won't archive them for the grand mistake you did previous! but please"BE CAREFUL AND WATCH IT"!. Wapenda MATUKIO wanataka "pain killer" nyingine after NAPE NNAUYE!

Nilikusudia kuendelea na uchambuzi wangu na this time nilitaka kum-profile RC PAUL MAKONDA ! Ni nani kwa Rais Dr.JPM mpaka awe tayari kumpoteza Nape Nnauye?! Niliacha kidogo TUKIO la NAPE li-fade away kwenye vichwa vya "Wanyama" wetu hawa, ndipo nije tena na HYPOTHESIS zangu! Kwa akili za kuzushia watu kama alivyofanya huyu SACO kwa Mheshimiwa ANTHONY DAILLO nachelea kurudi tena! Labda niwaulize wana JF nirudi nisirudi?
 
Mbona pale magufuli alipokua anatumbua watu kwa makosa madogo tu au wale waliofukuzwa kwa vyeti na watz kushangilia na kushabikia Haya matukio kwa mihemko yao na pain killer yao ya kuona wenzao waliofanikiwa wakifeli as per ur analysis haukuongea? Umesubiri wameguswa hao sasa ndiyo unaongea in other words ur analysis is subjective and full of logical fallacy. Au tuseme kimtaani BULL SHIT
 
Hopeless kabisa, eti Nape amefanyiwa timing, what a slavishly and sluggish mind. .
Nape. Is so smart . . maana alijua anachofanya na alijua nn kitatokea. Ila akaamua ku-Opt the right way..
KALE UKALALE HUKO. . . Unatujazia madudu tu hapa.
 
Mimi nilivyosoma ule uchambuzi nilijua kua nimeshauona humu humu, ila nikafikiri wewe ndiye Anthony na huyu aliyeuleta hakujua kama wewe umeshauleta.

Pole mkuu, pia jaribu kumripoti mhusika ili huo uzi utolewe.
 
Back
Top Bottom