hapa hawanaga mswalie mtumeNa ukimuidhi tu,andaa shingo yako kukatwa katikati.
WAMJUE YESU KAMA BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YAOWokovu kwa maana ipi?
Safi sana.Habari za asubuhi
Hawa waislam wa Ansal sunn sijui ndo inaandikwa hivyo wale wanaovaaga don't touch my shoes aisee wengi wao ni waaminifu ukifanya nao biashara!
Nimeshafanya biashara na wa hivyo zaidi ya watatu nabaki na hela Yao au wao wanabaki na ya kwangu na hatujawahi kuzinguana!!!!
Pokeeni maua yenu!!!
Kumjua, kumuamini na kuuelewa utendaji kazi wa Mungu wa kweli na Mungu mkuu yaani Yesu KristoWokovu kwa maana ipi?
VUTU au😁😁😁😁Safi sana.
Lakini usiwape ile kitu kipenzi
Videm jau hivyo...Kawaida Tu kama waislam wengine wa kike japo wananichoshaga nikimkuta mwanamke kabeba katoto mgongoni halafu kakafunika na lile baibui jeusi halafu kipindi cha joto!!
Naunga mkono hoja.Habari za asubuhi