..."Anselim Kapotelea Wapi"...

..."Anselim Kapotelea Wapi"...

Geita1

Member
Joined
Mar 20, 2013
Posts
22
Reaction score
10
Huyu jamaa sijui ana ban ya moderator au ya wife mda mrefu haonekan jukwaa hili
 
Atakuwa katingwa na shughuli.Hivi bado hajawa msemaji wa timu X kweli au?
 
Mkuu Anselm kwa hakika tume kumiss sana, popote ulipo tafadhali weka hata post moja tu tujue kama tupo wote. Pamoja nawe pia kuna mtani wetu mpendwa Saint Ivuga naye haonekani. Mandieta aliathirika na jina lileee, la timu iliyoiambukiza SSC Kirusi Cha Kufungwa (KCK) ambacho ni hatari kuliko VVU. We miss you all.
 
Acheni hizo,Anselm na siyo Anselim nipo nimejaa tele,na mkitaka kuamini kuwa nipo subirini Mnyama apokee kipigo kule CCM Kirumba leo mtaniona.
 
Atakuwa katingwa na shughuli.Hivi bado hajawa msemaji wa timu X kweli au?

Braza Chipolopolo sentensi yako imegawanyika katika sehemu 2 nusu umeongea la maana nusu umeongea kama yule Msemaji wa team Y yenye jina linaloanza na herufi "S".
Ki'ukweli kabisa majukumu haya mapya niliyoyaanza mwishoni mwa mwaka jana yananibana sana kiasi kwamba kupata muda wa kujumuika na Wadau huku kila siku inakuwa ngumu sana...hata hivyo tupo pamoja sana
 
Last edited by a moderator:

Mkuu umesomeka, tupo pamoja. Nawe Saint Ivuga jitokeze, leo Simba anachezea LBL la Toto Africans.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Anselm kwa hakika tume kumiss sana, popote ulipo tafadhali weka hata post moja tu tujue kama tupo wote. Pamoja nawe pia kuna mtani wetu mpendwa Saint Ivuga naye haonekani. Mandieta aliathirika na jina lileee, la timu iliyoiambukiza SSC Kirusi Cha Kufungwa (KCK) ambacho ni hatari kuliko VVU. We miss you all.

Ivi kesi ya Mandieta haina dhamana? Nakumbuka siku aliyowekwa kizuizini alituwekea list "kabobo" ya Yanga wakamdandia juu kwa juu isije ikawa aliiweka "You tube" akaunganishwa na watu hatari.
 
Braza Chipolopolo sentensi yako imegawanyika katika sehemu 2 nusu umeongea la maana nusu umeongea kama yule Msemaji wa team Y yenye jina linaloanza na herufi "S".
Ki'ukweli kabisa majukumu haya mapya niliyoyaanza mwishoni mwa mwaka jana yananibana sana kiasi kwamba kupata muda wa kujumuika na Wadau huku kila siku inakuwa ngumu sana...hata hivyo tupo pamoja sana
Anselm: Umenifanya nicheke mkuu. Nakutakia kazi njema...hapo mtaa wa J sawa na jina la kilabu chetu Y!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu umesomeka, tupo pamoja. Nawe Saint Ivuga jitokeze, leo Simba anachezea LBL la Toto Africans.

Ikiwa kinyume chake kwa hao toto itakuwaje mkuu?Maana tuko nyuma yao Toto kuhakikisha wanapakatwa.Simba amelowa wao wanadhani ni paka...?
 
Braza Chipolopolo sentensi yako imegawanyika katika sehemu 2 nusu umeongea la maana nusu umeongea kama yule Msemaji wa team Y yenye jina linaloanza na herufi "S".
Ki'ukweli kabisa majukumu haya mapya niliyoyaanza mwishoni mwa mwaka jana yananibana sana kiasi kwamba kupata muda wa kujumuika na Wadau huku kila siku inakuwa ngumu sana...hata hivyo tupo pamoja sana

Baraka Kizuguto ??????
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom