Chakunyuma
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 810
- 152
ccm ni mixture ya ASP & TANU na ni viongozi wa vyama hivyo vilivyoungana walikiongoza kwa mmuda mrefu na sera zao ndio zipo kwenye ccm ya sasa. Unaweza sema hakikuzaliwa bali kilipatiwa jina jipya lengo lilikuwa kuondoa utofauti wa majina ili kupata nguvu ya umoja.CCM imezaliwa mwaka 1977. Hivi sasa ina miaka 35. Mwandishi anaueleza umma kuwa CCM bado itakuwa na nguvu kwa miaka mingine 15 mpaka itakapotimiza miaka 50. Si haba...
ccm ni mixture ya ASP & TANU na ni viongozi wa vyama hivyo vilivyoungana walikiongoza kwa mmuda mrefu na sera zao ndio zipo kwenye ccm ya sasa. Unaweza sema hakikuzaliwa bali kilipatiwa jina jipya lengo lilikuwa kuondoa utofauti wa majina ili kupata nguvu ya umoja.
kaandika kwa hisia zake af anasingizia kuwa ni watu wa ccm.yeye anapandikiza chuki zake kwa jamii baada ya kukosa ile nafasi ya mkugenzi wa habari ikulu kama alivotarajia.Ansbert Ngurumo ukimfahamu wala hakupi shida.
small minds discuss people instead of ideas
kwa hiyo ccm na serikali zitakufa kwa sababu hazina hela? mwandishi kilaza jina linamlinda
kwa hiyo ccm na serikali zitakufa kwa sababu hazina hela? mwandishi kilaza jina linamlinda
Hiyo ni tafsiri yako. Mwandishi hakusema hayo, labda unithibitishie kuwa wewe ndio mwandishi wa article hii. Yeye amesema CCM itakufa ikifikisha miaka 50.
kaandika kwa hisia zake af anasingizia kuwa ni watu wa ccm.yeye anapandikiza chuki zake kwa jamii baada ya kukosa ile nafasi ya mkugenzi wa habari ikulu kama alivotarajia.Ansbert Ngurumo ukimfahamu wala hakupi shida.
Si kweli hata kidogo! kijana huyu ni great thinker mwenye Tanzania moyoni mwake. Si muoga wala mbabaishaji kama unavyotaka tuamini na ukimsoma katika makala zake kadhaa utagundua ni mtu mwenye uchungu na nchi yake. Hilo la kuteuliwa Mkurugenzi wa Habari Ikulu unalijua wewe, lakni ninavyomfahamu si mtu wa kujipendekeza kama yule jamaa anayetia aibu fani ya uandishi pale magogoni. Nafikiri unamjua. Shame on him!kaandika kwa hisia zake af anasingizia kuwa ni watu wa ccm.yeye anapandikiza chuki zake kwa jamii baada ya kukosa ile nafasi ya mkugenzi wa habari ikulu kama alivotarajia.Ansbert Ngurumo ukimfahamu wala hakupi shida.
Ansbert ana hasira hadi anakosa objectivity kwenye uandishi wake; anywayz wana seminary wengi wamefura wanasubiri padre awe rais..wananchi hawataki wanapeleka hasira zao kwa JK.
Udini umekujaa mpaka Mndukuni. Bokohalali wee!!Ansbert ana hasira hadi anakosa objectivity kwenye uandishi wake; anywayz wana seminary wengi wamefura wanasubiri padre awe rais..wananchi hawataki wanapeleka hasira zao kwa JK.
Inabidi kuwa zezeta kwanza ndipo uitetee CCM na serikali yake ya sasa!
anapandikizaje chuki kitu alichoandika ni ukweli mtupu. ugumu wa maisha unafanya watu tuwachukie watawala. acha majungu wewe huo ukurugenzi wa habari lini alikuambia anautaka.? unashangaza mimi nilidhani ungekosoa yale aliyoyaandika lakini inaonesha unachuki naye binafsi. mtu anayekukosoa ni mzuri musipende kusifiwa na misifa ya kijinga.kaandika kwa hisia zake af anasingizia kuwa ni watu wa ccm.yeye anapandikiza chuki zake kwa jamii baada ya kukosa ile nafasi ya mkugenzi wa habari ikulu kama alivotarajia.Ansbert Ngurumo ukimfahamu wala hakupi shida.
Si kweli hata kidogo! kijana huyu ni great thinker mwenye Tanzania moyoni mwake. Si muoga wala mbabaishaji kama unavyotaka tuamini na ukimsoma katika makala zake kadhaa utagundua ni mtu mwenye uchungu na nchi yake. Hilo la kuteuliwa Mkurugenzi wa Habari Ikulu unalijua wewe, lakni ninavyomfahamu si mtu wa kujipendekeza kama yule jamaa anayetia aibu fani ya uandishi pale magogoni. Nafikiri unamjua. Shame on him!
Udini umekujaa mpaka Mndukuni. Bokohalali wee!!
CCM imezaliwa mwaka 1977. Hivi sasa ina miaka 35. Mwandishi anaueleza umma kuwa CCM bado itakuwa na nguvu kwa miaka mingine 15 mpaka itakapotimiza miaka 50. Si haba...