Nswima John Edward
JF-Expert Member
- Oct 25, 2012
- 612
- 312
Uko sahihi kabisa
Ni kwamba umeelewa nusunusu au au umepania.ungesikia alichoongea mwigulu ni wazi cdm hawapaswi kaa kimya.
Ccm wameamua kujenga dhana potofu systematically..
Cdm kweli wameingia ktk stage ya mtoano.
Wa mpui kaleta uzi hapa moderators wameutoa nanukuu alichoandika anasema ameambiwa na mfanyakazi wa bunge kuhusu simu ya iliyotoka kwa Kinana kwenda kwa spika Anne Makinda akimwita dada mtoe mwigulu kuchangia jioni achangie asubuhi kwa sababu ana mengi ya kusema, Anna makinda akamuuliza kwani anayotaka kusema ni makali sana akasema akuonyeshe atakachosema
Ujue Spika Anna Makinda pale kakaa kama boya anafuta amri za mwenyekiti wa CCm Jakaya Kikwete,Katibu Mkuu jangiri wa pembe za ndovu Abdarahman Kinana ,Spika anasuka na watu hawa jinsi ya kuendesha bunge kwa siku ukumbuke Vuta Nikuvute alikuja hapa na mada akitueleza kuwa Tundu Lissu ananyaraka za kuimbua serikali kwa hiyo wamejipanga Spika na MACCM kutibua hoja zote zitakazoongelewa na chadema
Sasa Nswima Bunge ambalo Spika anapanga namna ya kuwakandamiza wabunge wa upinzani na wabunge wa chama chake na viongozi wa chama chao unataka wapinzani wasijubu tuhuma mbaya zinazozungumzwa bungeni ambazo kwa kiwango kikubwa wananchi wengi wanafutilia ni kweli wanapaswa kuongelea mambo ya msingi lakini pia lazima wadhibiti upotoshwaji, unaambiwa Makinda anaahidi kumpatia zawadi Kinana sijui awadi gani hii nchi bwana utaijua mwenyewe

Kwa vipi mbona nyanda za juu kusini wanaendelea na mpango mkakati unadhani chadema ni wakuhamishwa na hoja zao walizojiwekea usihofu endeleza libeneke huko mpandaMkuu nimeelewa, lakini tumekiuka kabisa, siyo vizuri kuhamishia mjadala ambao hauhusiki na bajeti na ukawa ndio mjadala mzima. Nafikiri unawajua ccm walivyo na akili za kuhamisha hoja na mada. Nafikiri hata mkakati wetu wa kuvifikia vijiji 18000 aliousema Dr Silaa sasa unakufa kwa sababu ya kuhamishwa kwenye reli na ccm, na hili wanalifurahia kwa sababu ndiyo nafuu yao, tusipokuwa makini watatuhamisha na kweli tutapoteza direction!!!
Kwa vipi mbona nyanda za juu kusini wanaendelea na mpango mkakati unadhani chadema ni wakuhamishwa na hoja zao walizojiwekea usihofu endeleza libeneke huko mpanda
Mleta mada jaribu kuangalia mambo kwa uhalisia! CCM watafanya kila njia kuhakikisha kuwa wanaihujumu CDM. Wanajua kuwa hawana uwezo wa kujenga hoja kama wabunge wa CDM, Leo Lissu amewafunika mwanzo mwisho! Wanachokifanya ni kuhakikisha speaker anaharibu mtiririko na mpangilio wa hoja ya vijana machachari wa CDM kibabe na kizembe...Pumba na Mchele unaonekana wazi Mkuu...
CCM imeoza. Yaani hata wafanyeje sasa hawawezi kuturudishia imani. Tunasubiri tu muda muafaka tutawaonyesha msimamo wetu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Ila tusiwalaumu sana! Ni vigumu mtu akutukane hadharani nawe ukae kimya hasa kama matusi yenyewe ni ya kipropaganda. Anayelea hiyo hali ni madam Spika! Kama ataendelea kuruhusu propaganda za kichama badala ya mijadala yenye tija, wabunge wa CHADEMA hawatanyamaza wala kufumbia macho njama zozote za hujuma dhidi yetu na Wananchi watawaelewa tu. Spika asimamie kanuni bila upendeleo!!Daahhh! Ni kweli mkuu, haya maccm yanaiharibu nchi kabisa. Lakini tukifanya kama wao moja kwa moja, hata wao watatushtaki kwa wananchi kuwa bungeni, hakuna aliyekuwa anaongea point, wote tulikuwa tunajibizana na kutoka nje ya bajeti....ikibidi kujibu hoja za kijinga za Mwigulu, zijibiwe lakini strategically...Thanks!!!
Mpaka sasa tathmini inaonesha kuwa CHADEMA ndo agenda kubwa bungeni. Imeongelewa kuliko kitu kingine. Hii ni faraja kwa wanachadema, lakini tujiulize kuwa sababu ni nini hasa? Haya madongo yote wanayojaribu kutupia CDM maana yake nini? Ni kampeni gani hii na lengo lake ni kujenga taswira gani kwa wananchi? Nani kawadanganya kuwa WATZ wa leo wanadanganyika kirahisi namna hii? Nawapa pole spika na wote walio nyuma yake!Ila tusiwalaumu sana! Ni vigumu mtu akutukane hadharani nawe ukae kimya hasa kama matusi yenyewe ni ya kipropaganda. Anayelea hiyo hali ni madam Spika! Kama ataendelea kuruhusu propaganda za kichama badala ya mijadala yenye tija, wabunge wa CHADEMA hawatanyamaza wala kufumbia macho njama zozote za hujuma dhidi yetu na Wananchi watawaelewa tu. Spika asimamie kanuni bila upendeleo!!