BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 5,188
- 14,346
Haters mshaanza.. kwani alichonacha na makondakta wengine wa kike si wanacho.Mafanikio ya binadamu hasa mwanamke yana Usiri mkubwa sana.
Sio haters, mafanikio ya kweli ni ya mwanaume tu! Hawa wengine wanatia mashakaHaters mshaanza.. kwani alichonacha na makondakta wengine wa kike si wanacho.
AahaaaaaSio haters, mafanikio ya kweli ni ya mwanaume tu! Hawa wengine wanatia mashaka
Je ni yeye peke yake kondakta wa kike ambaye ni strategic person?Haters mshaanza.. kwani alichonacha na makondakta wengine wa kike si wanacho.
Dalili njema inaonekana mapema Tilisho ni kampuni kwa maana ina watu makini kumpa hiyo nafasi maana yake wameona anastahili.. means hata shule atakuwa ameenda kwa ajili ya hiyo position yake mpya.Mbona mapema sana kuanza kumwagia sifa..?
Mkuu safari ya kiuchumi ni ndefu kiasi na humgeuza au kumfunza mtu,huyu Sasahivi anatakiwa atulize hicho kichwa chake huko makazini Kuna fisi na mafisi nafikiri naeleweka,ndugu usitukane watu kwakuona hatua Tano za huyo bidada huku ukisahau waliopiga hatua kumi!,kilichowaangusha wale kinaweza kumuangusha nayeye muacheni kwanza na hata akianguka asisemwe vibaya bado safari...
Huyu mleta mada namwuliza hivi..👇Sio haters, mafanikio ya kweli ni ya mwanaume tu! Hawa wengine wanatia mashaka
Influence yake kwenye mitandao ya kijamii ni miongoni mwa sababu na hiyo ndio strategic yenyewe sasaJe ni yeye peke yake kondakta wa kike ambaye ni strategic person?
Unaweza kuthibitisha kwamba makondakta wengine wa kike sio "Strategic" ndio maana hawapati mafanikio?
Unathibitisha vipi kilicho mfanya huyo Nayce Moshi kufanikiwa, Ni yeye kuwa strategic person?
Facebook account yake ina followers laki na utambulisho wake mkubwa ni kondakta wa Tilisho hizo numbers kwenye biashara zina maana kubwa.Huyu mleta mada namwuliza hivi..[emoji116]
Kama siri ya kufanikiwa ni kuwa "strategic" Je Makondakta wengine wa kike hawakuwahi kuwa strategic persons?
Kwamba huyo Nayce Moshi ndio strategic person kuliko wanawake wote?
Watu na negative minds zenu,,hamjawahi kukosekanaMafanikio ya binadamu hasa mwanamke yana Usiri mkubwa sana.