Another Business Plan Forsale

Another Business Plan Forsale

Joined
Jan 1, 2014
Posts
63
Reaction score
42
Hello JF members.
I am Rashid once again for Business Plan to sale to you, this now is for PIG BUSINESS PLAN, welcome again for this. Also don't worry wadau for your Business Ideas please sent it to me and I will prepare your Plan which is coming from your idea. Welcome also for that.
My contact remain the same but for the new customers you can use this 0718 88 71 02 or email; rashid.athumani@yahoo.com. I like most to make negotiation through mobile number for faster getting me, and If we have already negotiated now we can chat through email ready to sent your Plan to you.
Also if you have a problem with Project Proposal consulting me I will solve your problem.
Thank you, you are most welcome.
 
Peleka uchafu wako na Kiingereza kibovu namna hiyo.
Kwani ukiandika kiswahili watu hawakuelewi?au ndio wajue wewe ni Expert wa Michanganuo ya Biashara?

Yaani hiki Kingereeza chako ukichangaya na lugha ya kimakonde pamoja na Kimakunduchi na kuiweka kwenye maji na kumpa Mngojwa wa Ukimwi anapoana kabisaa.

Acha hizo.
Haya mambo ya ku Google Business plans ni kama wale wanao Google House Plans na kisha kujifanya kwamba ni wataalam wa Kuandaa ramani za majumba.

Angalia Kanjanja Time channel TEN
 
Rashid Athumani na bussiness plan ya kiti moto?
 
Mnaonaje JF wakianzisha kipengele cha kupiga kula account flani ziwe zinafutwa moja kwa moja kutoka kwenye site maana raia kama hawa wanajaza server tu. Kwa hicho kingereza imekua comedy
 
Nakushauri hizo business plan uandike kwa kiswahili tu. kizungu kitakupozea soko kwa kuwa unaonekana hukijui.
 
Walioelewa nini kilichoandikwa nafanya nao biashara, we angalia makosa ya lugha tuuuuu....
 
Mnaonaje JF wakianzisha kipengele cha kupiga kula account flani ziwe zinafutwa moja kwa moja kutoka kwenye site maana raia kama hawa wanajaza server tu. Kwa hicho kingereza imekua comedy

Watumie maoni yako.......
 
Peleka uchafu wako na Kiingereza kibovu namna hiyo.
Kwani ukiandika kiswahili watu hawakuelewi?au ndio wajue wewe ni Expert wa Michanganuo ya Biashara?

Yaani hiki Kingereeza chako ukichangaya na lugha ya kimakonde pamoja na Kimakunduchi na kuiweka kwenye maji na kumpa Mngojwa wa Ukimwi anapoana kabisaa.

Acha hizo.
Haya mambo ya ku Google Business plans ni kama wale wanao Google House Plans na kisha kujifanya kwamba ni wataalam wa Kuandaa ramani za majumba.

Angalia Kanjanja Time channel TEN

Uchafu kwako lakini mi napiga hela....
 
Hah hah hah....nimecheka sio kidogo... Hiyo dawa ya UKIMWI
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom