BIGstallion
JF-Expert Member
- Sep 13, 2016
- 6,323
- 7,895
Ii bossyladi imevamiwa na mahalamia
husna tunaomba kukufahamu japo kwa picha..makaz yako mkoa gani..
ukijulikana inakuwa ni rahisi kusocialize na member humu
Mimi sio mwenyeji humu, ndio maana nimeanza kwa kujitambulisha shosti...nilikuwa msomaji tuMgeni mwenyeji karibu
Hodi humu!
Naitwa Husna The BossLady, naishi Dar. Inshallah tutaendelea kufahamiana zaidi ila kama una swali kunihusu karibu.
.....
Kwa niaba ya maswali yote yalioulizwa:
* Mnaotaka kunifahamu kwa picha, nimeattach picha.
* kazi yangu ni Mwalimu (Head mistress)
* Sijaolewa
* Kuhusu kunilindia moyo, someone must be a capable man
* Kabila langu Mnyamwezi wa Igunga
* Napenda kuwa social
NimeshatupiaTupia ur photo, if u dont mind.
moyo wako ntaulinda nipe tuu
umeolewa ??
Karibu sana ila naomba nikufahamu kwa pic
Tupia ur photo, if u dont mind.
Haya sasa msije kuta yalikua maneno tuu....sasa mshindwe wenyewe wakuu..Nadhani umekuja wakat mujarab, meet the boss G' Extrovert!
Sasa hapo unaenda mbali Mkuu...mwisho utauliza nimevaa nguo ya rangi ganiHeadmistress wa shule gani?
Sifa ya uenyeji unayo!Nimeshatupia
Umeshakaguliwa? ??Hodi humu!
Naitwa Husna The BossLady, naishi Dar. Inshallah tutaendelea kufahamiana zaidi ila kama una swali kunihusu karibu.
.....
Kwa niaba ya maswali yote yalioulizwa:
* Mnaotaka kunifahamu kwa picha, nimeattach picha.
* kazi yangu ni Mwalimu (Head mistress)
* Sijaolewa
* Kuhusu kunilindia moyo, someone must be a capable man
* Kabila langu Mnyamwezi wa Igunga
* Napenda kuwa social
Sasa hapo unaenda mbali Mkuu...mwisho utauliza nimevaa nguo ya rangi gani
Siwezi.Njoo pm tuongee.
Husna weka picha unayo onekana clear bila miwani ili kuondoa doubts za kuwa ww ni mwanaume.