Another BossLady in the House, Hodiii

Njoo pm tuongee.


Karibu Sana boss lady, Kabla sijaleta tongozo Langu huko PM tutajie Kwanza ID yako ya zamani ili tuliokutongoza tujue Kabisa kuwa tunaenda kufanya Paper two.

PM ndo nini?

Bosslady pole kwa siku ya kwanza tu umeshindwa kuficha fake ID.
Mtego mdogo sana umeingia king mwenyewe.

Kuwa na systematic na strategy ili kufanikisha kufake au kutekeleza jambo.


Asprin

Daby
 
Headmistress huyu? Ni bora Magufuli aendelee tu kukazia "wazazi" wasirudi mashuleni maana watapigwa vibendi tena!:D
 
Back
Top Bottom