MBITIYAZA
JF-Expert Member
- Jan 22, 2017
- 14,950
- 26,050
Kitendo cha kutuma pics Zako h ah ahahah utakuja kujilaum mbele mbele huko
yaan nashangaa mapicha ya nn! kama kagulio vile ka uwanja wa fithi
Kitendo cha kutuma pics Zako h ah ahahah utakuja kujilaum mbele mbele huko
HujatembeaHusna mi ni afisa elimu Dar na mbona sijawai kumuona mkuu wa shule mwenye sura yako
Husna mi ni afisa elimu Dar na mbona sijawai kumuona mkuu wa shule mwenye sura yako
Sio mbaya ukitaja rangi ya nguo ulovaa pia,hata ikiwa ya ndani.Sasa hapo unaenda mbali Mkuu...mwisho utauliza nimevaa nguo ya rangi gani
mbona wanawake wenzangu mnamshambulia mgeni? mlitaka nidanganye kazi, nilipo, kabila...au mlitaka nijitambulisheje mashosti?!
Unamaanisha nitakuja kujikana au kujibadili??Kitendo cha kutuma pics Zako h ah ahahah utakuja kujilaum mbele mbele huko
PM ndo nini?Karibu Sana boss lady, Kabla sijaleta tongozo Langu huko PM tutajie Kwanza ID yako ya zamani ili tuliokutongoza tujue Kabisa kuwa tunaenda kufanya Paper two.
Haaaaa mkuu Labda ila wakuu wa shule wa mkoa wangu nawajua wotehahahahaha labda shule ya kindergaten au pulaiveti mkuu
Unaonekana una kaharufu ka shilole ww kakupenda kubadilisha men Igunga hiyombona wanawake wenzangu mnamshambulia mgeni? mlitaka nidanganye kazi, nilipo, kabila...au mlitaka nijitambulisheje mashosti?!
Antonio naona unatekeleza ufundi wa kocha wako simeonHusna mi ni afisa elimu Dar na mbona sijawai kumuona mkuu wa shule mwenye sura yako
Siwezi nikafika huko, nataman nijue tu ili ni mlete mtoto wangu shulen kwakoSasa hapo unaenda mbali Mkuu...mwisho utauliza nimevaa nguo ya rangi gani
Kamkague utaleta feedback naona mkuu wa kitengo cha ukaguzi hayupo. Ila hili file linaonekana familiarPrivate Message "PM".
Umeolewa lakini?
Cc: Daby