Another BossLady in the House, Hodiii

Hodi humu!

Naitwa Husna The BossLady, naishi Dar. Inshallah tutaendelea kufahamiana zaidi ila kama una swali kunihusu karibu.
.....
Kwa niaba ya maswali yote yalioulizwa:

* Mnaotaka kunifahamu kwa picha, nimeattach picha.
* kazi yangu ni Mwalimu (Head mistress)
* Sijaolewa
* Kuhusu kunilindia moyo, someone must be a capable man
* Kabila langu Mnyamwezi wa Igunga
* Napenda kuwa social

::::::::::::::::::::::::::::::::::::

Haya nimerudi tena binti Husna Husnadat The Boss Lady:) comment ni nyiiiingi, PM ndo kabisaaa....jamani hivi hamna wake nyie wababa?? Wapi nimesema natafuta kuolewa? Wengi wameandika ati njoo pm tuyajenge!! lkn hasemi tuyajenge manini hayo. Mwingine anasema kwa uvaaji huo wewe hufai kuwa Headmistress, utadhani hapo nilipo ni uwanja Wa shuleni!!

Halafu, kwann wanawake wenzangu mmekwazika Mimi Kuweka picha? Kwani nyinyi mnachoshindwa nn? au mnatafutwa na Serikali!! Mwanamke kujiamini kha! Picha zenyewe nakula makongoro lkn mwanaume roho juu...je nikiweka za Photoshoot au gym si ndio mtawehuka....mimi sina kipya ila ni descent lady mwenye maisha yake na ajira yake.

Mwingine anasema ati nimfate PM! haloo mm ndo nafuatwa, mm sifati wanaume...na ukija pm kuuliza nafundisha shule gani basi uandae kumregister mwanao huku.

Mnaoniomba Eid, mm kesho nashinda zangu home kuangalia series, sitembeagi ovyo jamani ee....the boss lady ni humble and loving and friendly lkn sio kwa maswali ya kipuuzi...huko n kukoswa kazi.

Nyt nyt wooote mlionikaribisha kwa mapenzi mema. Inshallah tutazidi kufahamiana zaidi.
Frankly speaking, NIMEKAUKIWA NA MANENO { I'm speechless}.

You're real a gorgeous lady - boss lady CONGRATS
 
Huna chembechembe hata moja ya ugeni.
 
Nitumie fee structure kwa PM nimwamishie mwanangu hapo shuleni kwako.
 
Usije kuomba mod watoe picha zako humu
Fikiri kabla ya kutenda usiongozwe na hisia. Usiponielewa nenda makaburini soma walau makaburi matano tarehe ya kuzaliwa,na tarehe ya kufa na kuzikwa baada ya hapo tafakari.
 
Looh hakun mgen alopokelewa na wenyeji wengi kam huyu mgen wamekupa mlo lakin
 
Back
Top Bottom