Another bomb shell loading.... Gwajima is about to push the button!

Mtoto mdogo sana huyo ,asije kukimbia nchi yeye .. Serikali haitishwi na washamba , serikali i a nguvu .
 
Mfumo wa CCM vipi usomane na NIDA?
Hayo siyo yangu lakini unaujua mfumo wa ccm? Una uhakika unasomana na nida? Na ukisomana unaathiri vipi kura? Je kuna haja kadı ya Kuwa na voters registration card kama nida can do the job?

Msiwe wepesi wa kujazwa alkasusi na mtu aliyeshiriki kuangamiza freedom of speech
 
Kila mwenye nia ovu awe askofu,shehe,padri,mchungaji au mwananchi wa kawaida ashindwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…