Aksante kwa taarifa . lakini kabla ya hii social website si tayari hawa jamaa wana forum zao. ?
Wanchotaka kufanya nadhani ni kuongeza pool ya members wengi zaidi ili hata kuwatambua real hackes iwe kazi kubwa zaidi. na member wakiwa wengi zaidi attack kama DDOS zinakuwa rahisi na mafanikio.