Anointing Water ya TB Joshua

Ndugu yangu ahyo maji yatakusaidia nini??? Maana nahisi hata NENO hulijui,, tafuta kutambua ufalme wa MUNGU kwanza hayo mengine yatakaa kwenye mstari tu..
 

hallucination! kuna mungu ndani ya maji ya Tb Joshua! another member of Samunge! hivi mnafanya makusudi au ni kweli hamumjuwi Mungu! acheni ushetani mwaminini Mungu kupitia Yesu baaas!
 
Jaman majaribu na majanga yamenichosha, nitayapata wapi haya maji ya baraka ya TB Joshua?

Tafadhali nisaidieni!

Best Regards

Majaribu hayawezi kukuacha kwa sababu wewe mwenyewe ni majaribu.Labda ubadilishe user ID yako kwanza!
 
Hivi ni kweli ee mapepo yamekaa kwenye jina!!ooh my god!!
 
Maji maji .... yale yale ya Babu wa Loliondo. Kizazi kisichotaka kufikiri,kizazi kinachotegemea miujiza kumaliza matatizo. Majibu ya matatizo yetu yako ndani ya uwezo wetu.
 
yanauzwa dolla 50 unayo hiyo pesa
 
Tatizo la walokole wengi wanaenda kwa Mungu kama dukani wakikosa wanachotaka kanisani wanahama kanisa na kwenda lingine.Wakikosa huko makanisani wanatafuta mafuta ya upako maji ya upako hadi wengine wanaishia kusikojulikana.Jamani kuweni wavumilivu,someni neno,ombeni bila kukoma,acheni uvivu wa kumtafuta Mungu.
 
Mtafute @ INNOCENT CHACHA, anayo mengi tu. Ye yameshamletea faida ya kufungua migahawa, kununua magari n.k.

Kwenye migahawa yake anawahudumia wateja mpk chooni.
 
watu wangu wanaangania kwa kukosa maarifa

Mimi niliyapata ya kwanza kwa mwaka mmoja nilipandishwa cheo Mara mbili mpaka nimefika director wakati nililuwa nabaniwa bila sababu kwa kweli nimefumguliwa Sana mpaka jirani yangu alikuwa usiku alali kwa sababu ya mapepo tukamwombea kwa kutumia hayo maji hayo mapepo yakamtoka sasa Ni mzima na anaendelea na kazi yake kama kawaida .Ushuuda Ni mwingi Sana na karama kila mtu hupewa na Mungu kwa waaminio.
 
hallucination! kuna mungu ndani ya maji ya Tb Joshua! another member of Samunge! hivi mnafanya makusudi au ni kweli hamumjuwi Mungu! acheni ushetani mwaminini Mungu kupitia Yesu baaas!

............Yesu si ndo mungu mwenyewe !?........au !??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…