Annual Increment

Annual Increment

Degelingi_One

Member
Joined
Nov 17, 2018
Posts
72
Reaction score
122
Wataalamu na wenye uelewa kidogo wa hili suala. Hili ongezeko huwa linakuwaje
1. Ni asilimia ngapi!??
2. FlatRate kwa watumishi wote!??
3. Kulingana na madaraja ya watumishi!??
4. Au atakavyoamua Rais!??

Nawasilisha
 
Angalia barua yako ya Ajira au ya kupanda daraja. Pameandikwa mshahara wako kwa mwezi na pia kiwango chako Cha annual increment.
 
Kijana wazungu wanasema Expectations Kills, muandiko wako unaonyesha wewe ni ajira mpya ya miaka hivi karibuni... Hiyo annual increment haitakutosha hata kununua mfuko wa cement... Achana nayo ndio maana unaona watumish wenzako hata hawajashitushwa kusikia inarudishwa ni hela ya ambayo ukitaka kuitoa hata kwenye ATM haitoki
 
Mabro mnatakiwa muwape motisha vijana
 
Kijana wazungu wanasema Expectations Kills, muandiko wako unaonyesha wewe ni ajira mpya ya miaka hivi karibuni... Hiyo annual increment haitakutosha hata kununua mfuko wa cement... Achana nayo ndio maana unaona watumish wenzako hata hawajashitushwa kusikia inarudishwa ni hela ya ambayo ukitaka kuitoa hata kwenye ATM haitoki
asiweke matarajio makubwa kiivyo...ni hela ndogo tu ya kusaidia makato ya NMB kwa mwezi...kumrahisishia ni kati ya elfu kumi na elfu 20

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom