Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,639
- 164,782
Ngoja waje wenyewe watufafanulie .Mods naomba huu uzi ujjtegemee.
Tangu jana na juzi kumekuwepo na madai kuwa payroll zinaonyesha kuwa kutakuwa na increment katika mishahara ya mwezi huu kama bwana mkubwa alivyoahidi.
Sasa wadau,leo ndio mishahara imetoka na hata foleni za kwenye ATM jioni hii zinathibitisha hilo tofauti na jana na juzi lakini mtumishi mmoja tunaefahamiana katoka kwenye ATM muda huu anadai hakuna kilichobadilika.
Swali ni je,hiyo increment imeishia kwenye payroll tu au hii increment inatolewa kwa mafungu?
Hapana kipo, ni kuanzia 10,000 to 120,000 ... katika range hiyo kufuatana na cheo/ngazi ya mshahara. It is peanut, naweza nikaita rubbish. elfu kumi maisha ya leo?Mods naomba huu uzi ujjtegemee.
Tangu jana na juzi kumekuwepo na madai kuwa payroll zinaonyesha kuwa kutakuwa na increment katika mishahara ya mwezi huu kama bwana mkubwa alivyoahidi.
Sasa wadau,leo ndio mishahara imetoka na hata foleni za kwenye ATM jioni hii zinathibitisha hilo tofauti na jana na juzi lakini mtumishi mmoja tunaefahamiana katoka kwenye ATM muda huu anadai hakuna kilichobadilika.
Swali ni je,hiyo increment imeishia kwenye payroll tu au hii increment inatolewa kwa mafungu?
Tangu jana na juzi kumekuwepo na madai kuwa payroll zinaonyesha kuwa kutakuwa na increment katika mishahara ya mwezi huu kama bwana mkubwa alivyoahidi.
Sasa wadau,leo ndio mishahara imetoka na hata foleni za kwenye ATM jioni hii zinathibitisha hilo tofauti na jana na juzi lakini mtumishi mmoja tunaefahamiana katoka kwenye ATM muda huu anadai hakuna kilichobadilika.
Swali ni je,hiyo increment imeishia kwenye payroll tu au hii increment inatolewa kwa mafungu?
Watumishi wa ajira mpya 2017 hawajaongezewa na hata payroll zinaonyesha hivyoTangu jana na juzi kumekuwepo na madai kuwa payroll zinaonyesha kuwa kutakuwa na increment katika mishahara ya mwezi huu kama bwana mkubwa alivyoahidi.