Annual dominion 70 Yametimia yaliyoandikwa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Annual dominion 70 Yametimia yaliyoandikwa?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mwanahisa, Aug 19, 2012.

 1. Mwanahisa

  Mwanahisa JF-Expert Member

  #1
  Aug 19, 2012
  Joined: Jun 29, 2012
  Messages: 1,397
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  ............ John while exiled on Potmos wrote of the End time's.
  The elements of the earth melting away,

  An army of 200million in one case battles that would all center on a hot spot in the middle east.

  Taarifa za hivi karibuni zinasema, Uchina ndio nchi yenye jeshi kubwa duniani linalokadiriwa kuwa na idadi ya wanajeshi millioni 2.8 (active soldgers in uniform), Akiba (reservist) ya wanajeshi million 1, wakiwa na back up ya militia million 15. Kwenye taifa lenye idadi ya watu billion 1.2 ambao kati ya raia hao million 200 wako fit kwa uhitaji wa kazi za kijeshi muda wowote wakitokea uraiani.

  Wakati Yahana (JOHN) alikua akipewa mafunuo haya huko kisiwa cha Patimo, idadi aliyoitaja ya wanajeshi million 200 ilikua ni mara 4 au 10 ya idadi ya watu waliokua duniani wakati huo. (WORLD POPULATION).
  Sasa ndio tuseme ule ufunuo unatimia? Nawasilisha.
   
 2. T

  Tewe JF-Expert Member

  #2
  Aug 19, 2012
  Joined: Jan 11, 2008
  Messages: 744
  Likes Received: 182
  Trophy Points: 60
  Hakina sijuaye siku wala saa ni Mungu pekeyake ajua
   
Loading...