The Khoisan
JF-Expert Member
- Jun 5, 2007
- 15,396
- 12,979
Hivi unaamini hizi story za Wabunge kumleta maendeleo.... Kwa system ya TZ Wabunge ni wasemaji tu wa Wananchi.Spika Mstaafu Anne Makinda, amekabidhiwa joho lake ambalo alikuwa akilitumia kama Spika wakati wa uongozi wake wa Bunge.
Anne Makinda ni moja ya Wabunge walioweka rekodi ya Wabunge waliokaa Bungeni kwa miaka 40 akiwakilisha Jimbo la Njombe Kusini.
Hili nimelistaajabu sikuwa nafahamu haya natamani kujua Njombe Kusini. Pakoje huenda ni kama Ulaya
Wenye picha tunaomba mshare nasi
View attachment 1339396
View attachment 1339397
Sent using Jamii Forums mobile app