Anne Makinda: Mbunge aliyekaa Bungeni kwa miaka 40

Chibudee

JF-Expert Member
Dec 28, 2016
1,775
2,397
Spika Mstaafu Anne Makinda, amekabidhiwa joho lake ambalo alikuwa akilitumia kama Spika wakati wa uongozi wake wa Bunge.

Anne Makinda ni moja ya Wabunge walioweka rekodi ya Wabunge waliokaa Bungeni kwa miaka 40 akiwakilisha Jimbo la Njombe Kusini.

Hili nimelistaajabu sikuwa nafahamu haya natamani kujua Njombe Kusini. Pakoje huenda ni kama Ulaya

Wenye picha tunaomba mshare nasi

FB_IMG_1580289057948.jpeg


FB_IMG_1580289055445.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ina maana kuwa kaingia Bungeni katika awamu ya Mwl Nyerere mwaka 1975, kwa sasa ana umri gani?
 
Na joho la yule spika aiyekuwako kabla ya msekwa, Ndugu Mkwawa alipewa nani? au alishapewa kitambo?
 
Back
Top Bottom