Elections 2010 Anne Kilango: Wanataka kuniua

Sasa huo ulikuwa mchango wa bajeti ya waziri mkuu au mipasho ya kuelekea uchaguzi, Mama alikuwa off point hapa, ila mwaka huu hata watoto watapata shikamoo kutoka kwa wazee.:hungry:
Mkuu mi naona wanaigiza tu kule hakuna kitu kabisa!!
 
Tunahitaji kuwekana sawa kuhusu kazi na majukumu ya mbunge, na ulazima wa yeye kuchaguliwa zaidi ya mara moja.
Je tunachagua mbunge ili atuletee maendeleo kwa kutumia pesa zake au kuomba ufadhili?
Je jimbo ni mali ya mbunge?
Kwa nini watu wenye pesa zao na wana mapenzi mema na wananchi wakajitolea bila kupitia ubunge ili kuwaletea wanachi maendeleo?
Mabadiliko ni sehemu ya maendeleo, kubadilisha wabunge pia hakutachochea maendeleo?
 
Mdau Br. Qadhi, maelezo yako nadhifu.

Kumfananisha thinker Muhammad Yunus na wachumia tumboni akina Mwandosya na Mwakembe et al, ni kumtusi kwa herufi kubwa Dr.Yunus.

Nilishatoa rai kwamba Tz haihitaji wabunge wala wanasiasa, sababu ninazo japo nyingine sitaziweka wazi kwa sababu fulanifulani. In stead nilishauri ni vyema wataalam wa huko mawilayani wawe empowered ktk mifumo ya taarifa (IT), sera na ujuzi..wangeweza kufanya kazi bora zaidi ya kuwakilisha mawazo na matatizo ya wananchi kuliko mchezo wa kuigiza unaofanywa na watu kati - wabunge, kwa gahrama ya juu, ambao hata hivyo HAWANA TECHNICAL KNOWHOW..bali kazi kujitiatia tu wengine hata kuumba hati hawajui.

Way forward kwa nchi yetu kupiga hatua ni kuondoa taratibu INFLUENCE YA SIASA na mwisho kufikia taifa ambalo linaendeshwa na mifumo ya kufikia maamuzi na sio kufanya maamuzi.

Tuko pamoja mkuu wangu Abdulhalim.Hizi siasa zinaendelea kumkandamiza Mtanzania...tunahitaji aina fulani ya utawala wa IMLA at least for sometime ili mambo yaende sawa
 
Duh Mwalimu wa University anang'ang'ana na yeye kuwa mhishimiwa mbunge..Kweli bongo tambarare.

Mkuu huko ndo kwenye za kuchukua vyepesi vyepesi wakati unapiga domo kaya!!
Huyu Dr. ni mjasilia mali, ana mradi wa shule ya sekondari pale ubungo; nadhani anataka a-loby vizuri mambo yaende. Bongo tambarare...
 
Mimi naona wote hawa wawili wanamatatizo tu. Dr. Kadeghe ni mzushi; Anne Kilango naye ni mzushi vile vile.
 
Wasomi wetu nao! wote wanakimbilia siasa lakini cha maana wakifanyacho huko hakijulikani.Nao wameingia kwenye ushabiki kama ule wale wazee wa Dar pale sabasaba na mzee wa nchi kuhusu mgomo wa TUCTA.Ndo wale wale wa mheshimiwa Spika ingawa sikubaliani na hoja hii lakini naiunga mkono kwa asilimia mia moja.Ujinga mtupu!
 
Mkuu huko ndo kwenye za kuchukua vyepesi vyepesi wakati unapiga domo kaya!!
Huyu Dr. ni mjasilia mali, ana mradi wa shule ya sekondari pale ubungo; nadhani anataka a-loby vizuri mambo yaende. Bongo tambarare...
Ukiuliza watakwambia ' aah kugombea ni haki ya kikatiba kwa kila Mtz aliyefikisha miaka 18!'.
 
kadege mwalimu/mwenye shule ya perfect vision pale ubungo anataka ubunge nae,du!..haya ndiyo siasa hizo,usipopenda hayo mambo jitoe tu!
 
this just shows us how our country is... focus ipo kwenye vikao vya maigizo dodoma!!!!
IMO nilitarajia mtu ukifikia ngazi ya ualimu wa walimu, unatakiwa uji-distance na upande wowote ule kwene ishu yeyote ile, ili uwe ktk nafasi nzuri ya kutumia ujuzi wako kuielimisha jamii, kuikosoa au kutoa muongozo na mambo kama hayo. Ukishauza roho yako kwa tabaka tawala ualimu wa walimu becomes useless..na uganga njaa unatia timu.
 
Isha kuwa tabu, kajitokeza mpizani mayowe yanapigwa na faulu kibao. Kumbe huna hatia kelele za nini si usubiri
tu hilo shitaka.
 
mimi nashauri ccm na vyama vingine vitafute mtaratibu mzuri wa kupata wagumbea wa vyama vyao mfano leo hii ata kama mtu unasifa si rahisi kupitishwa kutokana na mizengwe .kuhusu mama kilango na baadhi ya wabunge wapiganaji {ccm} kushutu kila mtu atakaeonyesha nia ya kkupambana nao majimboni mwao ni kibaraka wa mafisadi naona sasa upiganaji umekua kichaka cha kujitetea tena mbaya zaidi kutumia vikao vya bunge {fupi} ninauwakika mama kilango angeweza kukutana na waziri mkuu nje yavikao vya bunge na kujadili hili au anasababu zake kuzungumza hadharani
 
"When you live in glass house do not throw stones at passer bys lest they throw back the stones and if they do not get u they will get your house".
 
Ni vema Wabunge wakajaa wasomi...kuliko kujaza VILAZA hata kupitia mikataba hawawezi..!!!

Naamini tukiwa na nusu ya wabunge ni PHD holder itasaidia sana....!!

Huyu Mama aache kulia...aje kuonewa Huruma...!!!
 
Back
Top Bottom