Anne Kilango Malecela ashangazwa na Mkoa wa Kilimanjaro kuwa Pemba ya Tanzania Bara. Adai CHADEMA haitakaa ishike Dola Nchi hii

Naskia wale majamaa walio mteka mitaa ya gairo kama kumbukumbu zangu ziko sawa kipindi cha kampeni za kumtafuta ataepeperusha bendera ya uraisi kupitia ccm kwa mwaka 2005,waliramba zile hela tena ndo za EPA sasa alafu mama wakampiga mande hadi wakakata shanga
 
Kuna mwingine anasema ccm ina phd 19 kati ya 20 tz hizi akili sijui za wapi modereta sijawai kuvunja sheria?
 
Naskia wale majamaa walio mteka mitaa ya gairo kama kumbukumbu zangu ziko sawa kipindi cha kampeni za kumtafuta ataepeperusha bendera ya uraisi kupitia ccm kwa mwaka 2005,waliramba zile hela tena ndo za EPA sasa alafu mama wakampiga mande hadi wakakata shanga
:eek:
 
Duuuuh!!!!!
 
View attachment 865905

Mbunge wa Kuteuliwa, Anne Kilango Malecela, akina kwenye mkutano wa kampeni Kata ya Machame Uroki, Wilaya ni Hai, Mkoa wa Kilimanjaro, amesema CHADEMA hakitakaa kishike Dola katika Nchi hii kutokana na mfumo wake wa utawala kuwa mbovu.
Alisema anashangazwa na Mkoa huo (Kilimanjaro) kuwa ndiyo Pemba ya Tanzania Bara, akisema umekuwa Mkoa wa Upinzani na kuuliza wanapata faida gani?

View attachment 865904
Wapeni likizo polisi wakati wa uchaguzi muone.
 
atakua ni huyu, ndio anajiita siku hizi!
"Niite MC anayekuna rhymes, nawasha kama upupu..
Kama utakuwa hujavuma, ni vipi utakuwa maarufu...
Najituma napakua madude ya nguvu, unastukia nimekuacha nyuma baada ya kunifanyia ushushu...
Najua roho inakuuma unapokohoa mi sikohoi ... ohhooo oohhhoo....."
 
Hiyo anayosema Kilimanjaro haitakaa ishike dola anataka dola ipi?
Kilimanjaro ilishaendelea miaka mingi iliyopita na kwa kuwa wanajielewa wala hawana shida wao na CCM wao ni upinzani na wana raha zote................. amtafute Davis Mosha amuulize ilikuwa YAHAYA?
Hayo ni mawazo yake; bahati mbaya hatambui umuhimu wa upinzani katika siasa. Ebu tufikiri nchi ingekuwa ina mfumo wa chama kimoja. Nionavyo mimi, hata umakini wa chama tawala ni matokeo ya upinzani; kwamba chama tawala kinamulikwa na upinzani kuhakikisha wanatimiza yale walioahidi. Sema tu tunashuhudia utawala wasiojali maoni ya wachache/demokrasia
 
"Niite MC anayekuna rhymes, nawasha kama upupu..
Kama utakuwa hujavuma, ni vipi utakuwa maarufu...
Najituma napakua madude ya nguvu, unastukia nimekuacha nyuma baada ya kunifanyia ushushu...
Najua roho inakuuma unapokohoa mi sikohoi ... ohhooo oohhhoo....."
ukitakata kutishia kujamba, unatakiwa kuangalia kama maji yapo ya kutosha!
 
Kwakweli huwa napata shida sanaa kwa PHDs holders kuwa sehemu ya kutotaka kufahamu ukweli ambao darasa la saba wanauona ndani ya CHADEMA kuwa si chama cha siasa bali ni chama cha Mbowe na familia yake. Sasa sijui tunawasaidiaje hawa akina Prof Baregu na Abdallah Safari? Watu kama Sumaye sina mashaka kwani hata uelewa wao na elimu zao ni za mashaka mashaka sana sihitaji hata kuwazungumzia hapa. Lowasa anafahamika ni mpiga dili ndo maana yuko CHADEMA huyu naye sihitaji kutafakari chochote juu yake.
Sasa ni sawa na bangi kuuzwa kituo cha Polisi so tunajua ni halali. Maana wapo bungeni na ruzuku wanapata.
 
Huyo mpare mjinga ametoroka kumhudumia ombaomba wake anakuja kuropoka tu,ngoja jamaa adanje le kiba100 atamtoa roho kwenye kugombea urithi
 
Kwahiyo shida za wananchi ni upinzani na sio tēna maji, ùmeme, huduma nzuri za afya n.k?
 
Back
Top Bottom