Anne Kilango Malecela ashangazwa na Mkoa wa Kilimanjaro kuwa Pemba ya Tanzania Bara. Adai CHADEMA haitakaa ishike Dola Nchi hii

Atuambie hiyo mikoa inayo ongozwa na ccm ina nini cha maaana kuliko mikoa inayongozwa na upinzani?
huyu mama alishapigwa chini jimboni ,kaonewa huruma na wazee wa chama wakamsihi rais amrudishe bungeni japo kwa geti la nyuma mumewe aweze kupata mlo wa siku.
So asizanie she is so special hapo alipo yupo tu kwa hisani tuu kupitia mgogo mzee malecela.
 
View attachment 865905

Mbunge wa Kuteuliwa, Anne Kilango Malecela, akina kwenye mkutano wa kampeni Kata ya Machame Uroki, Wilaya ni Hai, Mkoa wa Kilimanjaro, amesema CHADEMA hakitakaa kishike Dola katika Nchi hii kutokana na mfumo wake wa utawala kuwa mbovu.
Alisema anashangazwa na Mkoa huo (Kilimanjaro) kuwa ndiyo Pemba ya Tanzania Bara, akisema umekuwa Mkoa wa Upinzani na kuuliza wanapata faida gani?

View attachment 865904
Huyu mama anatakiwa kupimwa akili.daaaaah lakini sishangai maana akili za viongozi wengi wa ccm zipo hivi.naanza kupata shida sana na aina ya elimu walizopata hawa viongozi wa ccm maana hata maprof na maPhD walioko ccm wana mawazo mgando kama ya huyu mama.sioni tofauti zao. naanza kuamini kwamba ccm ina madarasa yake maalum ambayo mtu yeyote akitoka huko atokako akiingia ccm anasafishwa knowledge yote aliyokuwa nayo kichwani anabaki mweupe halafu anaingia sasa madarasa maalum ya ccm anajazwa matope upya ambayo atakuwa anayatumia kufikiri wakati akiwa ccm.nikiwaangalia madakari na maprof wote waliotoka kwenye taaluma zao wakaenda CCM hadi nawaonea huruma maana woooooote sasa hivi wanaongea na kufanya matendo sawa na ya akina KIBAJAJI, MUSUKUMA, MAJI MAREFU(R.I.P),POLEPOLE etc etc na hao wapiga domo eti ndio mabosi wao na wameshakilia akili kabisa
 
" LOLIONDO" yarudi tena! Pengine hii inaweza kuwa stori nyingine ya kuvutia kwa wakazi wa Jiji la Dar es Salaam, baada ya mtu mwingine kujitokeza na kuanza kutoa huduma inayofanana na ya Babu wa Loliondo.

Mganga huyo wa kienyeji ametambulika kwa jina moja la Yakub amekua akifanya huduma hiyo maeneo ya Feri ambapo amejipambanua kutibu magonjwa mbalimbali kwa kutumia dawa anayoweka kwenye chupa ya maji ya kunywa.

Tayari kundi kubwa la watu limeanza kujitokeza kwa Babu huyo ambaye tofauti yake na yule wa Loliondo huyu wa Dar amekuwa akichaji Shilingi 3,000 kama gharama ya dawa zake.

Watu kadhaa ambao wameshatumia dawa za Babu huyo wamekiri kuona mabadiliko ambapo wamemsifu kwa kuwa na dawa ambazo zinatibu kwa haraka





Hueleweki, hoja yako ni nini?
Funguka,eleza kwa ufasaha ili ueleweke
 
Binafsi naona huyu mama kaongea pumba tupu,

Sioni ushirikiano kati ya suala LA chadema kushika dola na Mkoa wa Kilimanjaro.

In short;
Amemropoka
 
View attachment 865905

Mbunge wa Kuteuliwa, Anne Kilango Malecela, akina kwenye mkutano wa kampeni Kata ya Machame Uroki, Wilaya ni Hai, Mkoa wa Kilimanjaro, amesema CHADEMA hakitakaa kishike Dola katika Nchi hii kutokana na mfumo wake wa utawala kuwa mbovu.
Alisema anashangazwa na Mkoa huo (Kilimanjaro) kuwa ndiyo Pemba ya Tanzania Bara, akisema umekuwa Mkoa wa Upinzani na kuuliza wanapata faida gani?

View attachment 865904
Mbona zipo sehemu nyingi zinatawaliwa na CCM lakini hakuna maendeleo kama Moshi kwenye upinzani mwingi, huyo Mama Le mutuz ni kilaza mjinga hajui kuwa maendeleo ni pesa za walipa kodi wa Kilimanjaro? Kama wataanza kuwakomoa Wapinzani kutopeleka maendeleo makusudi watambue kuwa huo ni wizi wa pesa za wana Kilimanjaro, ni haki ya kupelekwa maendeleo Kilimanjaro wala si hisani ya CCM, huyo mama atambue kuwa watanzania si wajinga wanajua kuwa kodi zao hazitumiki kupeleka maendeleo eneo husika bali zinatumika kudhoofisha chadema na upinzani kwa ujumla.
 
Binafsi naona huyu mama kaongea pumba tupu,

Sioni ushirikiano kati ya suala LA chadema kushika dola na Mkoa wa Kilimanjaro.

In short;
Amemropoka
Kwanza ajue kama si uchakachuaji leo hii CCM wangekuwa ni chama cha upinzani, chadema wana uwezo wa kuchukua Dola lakini CCM wanawahujumu sana na kama haitoshi huwapora ushindi kila chaguzi kama walivyopanga kufanya huko Hai, Ukonga na kwingineko.
 
Wananchi wanalipa kodi na ni haki zao kupelekewa maendeleo sehemu zao wala si Hisani ya CCM, inaelekea CCM hawajali hata wale wananchi wasio na vyama ambao wanaishi kwenye majimbo ya Wapinzani. Maendeleo ni haki ya walipa kodi pasipo kuangalia vyama
 
dah unasikitisha sana, umasikini huu wa watanzania na matatizo lukuki waliyokuwa nayo inawezekana yamesababishwa na Chadema toka 1961. Sijui umri wako ila kwa ulichokiandika basi kizazi chako hakina budi kusikitika na kulia, Adui wa Tanzania ni CCM hivyo kwa yeyote mwenye akili timamu hawezi kupoteza muda kupambana na CDM bali atautumia muda wake vizuri kupambana na CCM ili ndugu zake walio kwenye lindi la umasikini waweze kukombolewa..
Aiseee unakunywa kinywaji gani nitalipia
 
Back
Top Bottom