Dah! una art mbaya sana. Unafutafuta sana mpaka vingine havisomeki vizuri. Mara vinasomeka 'Hana' nahisi ni Ana, 'pena' nahisi ni Pewa. Nilitamani ufunguke zaidi lkn nahisi naweza pofuka
Mama Prof. naona kaanza kuchanganyikiwa sasa. Binafsi niliamini tangia mwanzoni kuwa heshima yake ilikuwa kubwa kuzidi uwaziri katika serikali ya ccm na siku moja wote tutaliona hili.
Wakati anawashawishi wapiga kuwa alikuwa neutral ilikuwa mara chache kumkuta amevalia manguo haya ya kijani na njano lakini sasa anadhani ndio wataweza kumuokoa baada ya kujiunga na wala rushwa!
Sasa anaongelea alivyopewa pesa, je hiyo ni miongoni mwa ahadi alizotoa illi achaguliwe!?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.