Anna tibaijuka afunguka

Anna tibaijuka afunguka

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,114
Reaction score
34,958



Akijibu swali aliloulizwa, Waziri Anna Tibaijuka amesema fedha alizopokea ni za ruzuku kwa ajili ya shule na hazihusiani na zile za Escrow. Mtazame hapa
 
Last edited by a moderator:
Hizi siasa hizi zinaharibu akili za watu, yaan leo Profesa Tibaijuka anachukua maelezo ya standard 7 Lusinde kama ndio reference kwenye report iliyoandikwa kitaalamu?kaazi kwelikweli..
 
Huyu mama alijichanganya sana aisehh! Kwa majibu haya, huwezi amini kwamba ni Prof. Au ndio kashikwa pabaya na hana pa kuchomokea? Poor her!
 
Mama fisadi Tibaikuja acha uongo, utapewaji ruzuku kutoka katika pesa za wizi!? pesa za umma!?
 
Hana cha kujibu ndo maana anabwabwaja. Hela zilitoka kwenye account yake zikaenda Bank M, hazikugusa kwenye account ya shule. Cha ajabu bodi ya shule inadai walikubaliana zilipe mkopo wa shule hapo Bank M.
 
Yaani we mama ni mwizi sijaona. Huna adabu kabisa. Yaani hata migogoro ya makazi inayoendelea we ni sababu.
 
Back
Top Bottom