Anna Mghwira avuliwa uenyekiti ACT-Wazalendo, Yeremia Maganja akaimu uwenyekiti

Hakika dhambi na laana ya usaliti ishaanza kuwala wasaliti mchana kweupee pe,tulisha sema awali ACT ni CCM B.Leo CCM A na viongozi wao wameshindwa kuvunga wanaumbuka waziwazi.

Hakika hapa ndiyo utaamini ya kuwa Mungu yupo na UHAI, angalia Le Propese le TUMBO anavyoteseka naye eti M/Kiti wa M/Kiti wa vyama vya siasa le Mutungi le wasaliti.

Angalia Baby Josephine laana ilivyo mfanya hadi leo anaficha uso wake kuogopa na kuona aibu yakuwa dunia inamzomea.

My Take: Huu ni mwanzo tu mengi yanakuja....zaidi Le Goli la Mkono le Nape...na bado..
 
ACT ni chama makini sana. Watu hawalali wanapata homa na hiki chama.

Heshima kwenu wakuu,

Kutoka Makao Makuu ya ACT Wazalendo

Leo kuna mkutano wa Chama cha Saisa cha Tanzania cha ACT Wazalendo na Waandishi wa habari.

Leo nmefanikiwa kufika eneo la tukio, hivyo ntawaletea Updates ya kile kitakachojiri. Mkutano unaanza saa nane kamili.

Karibuni.
18cb0446e416496f35d1434f05cecf3e.jpg

View attachment 520729

=======

UPDATES;

=>
 
Unaweza kuuelezea usaliti waliokufanyia..au ni ushabiki tu.
Kafulila mlimuita msaliti sasa mnaye sijui mnamuitaje?

Hakika dhambi na laana ya usaliti ishaanza kuwala wasaliti mchana kweupee pe,tulisha sema awali ACT ni CCM B.Leo CCM A na viongozi wao wameshindwa kuvunga wanaumbuka waziwazi.
Hakika hapa ndiyo utaamini ya kuwa Mungu yupo na UHAI, angalia Le Propese le TUMBO anavyoteseka naye eti M/Kiti wa M/Kiti wa vyama vya siasa le Mutungi le wasaliti.
Angalia Baby Josephine laana ilivyo mfanya hadi leo anaficha uso wake kuogopa na kuona aibu yakuwa dunia inamzomea.
My Take: Huu ni mwanzo tu mengi yanakuja....zaidi Le Goli la Mkono le Nape...na bado..
 
Mkutano wa Chama cha ACT Wazalendo na waandishi wa habari wakitoa taarifa ya kikao cha kamati ya chama hicho na kuzungumzia masuala mbalimbal yanayoendelea nchini..
 
Kwanini mama Ana hakujiuzuru tu? Yaani mpaka kamati kuu imvue uenyekiti? Au maagizo ya Mtukufu ndo yalikuwa hayo - 'komaa mpaka mwisho uzidi kuwachanganya!?''
 
Ajenda ya mkutano kaileta nani,,wakati mwenyekiti yupo kilimanjaro kwenye kiyoyozi?? Kuwa mpinzani kwenye nchi ya kikapuku inataka moyo wa ziada
 
Bavicha bwana...
Wanasahau pale ufipa jengo kama stoo ya mkaa
Hapohapo ndipo penye kiwanda cha kuzalisha viongozi na wabunge wanaotema cheche zilizojaa madini siyo Kama ofisi za Lumumba na Chamwino zilizopambwa kwa nakshi lakini kizazi chake ni cha makapi wanaotuingiza kwenye mikataba mibovu.
 
Chama cha ACT-Wazalendo leo kimetangaza kumuondoa Anna Mghwira kwenye nafasi ya uenyekiti wa chama hicho.

KUHUSU MRITHI WA MGHWIRA: Chama cha ACT-Wazalendo leo kimemtangaza Yeremia Maganja kuwa Kaimu Mwenyekiti wa chama hicho hadi uchaguzi utakapoitishwa.
 
Eti 'ACT iko tayari kupewa nchi...' Bwa ha ha ha ha ha haaa'! anyway Hongereni ACT wazalendo
 
kwa hiyo ACT imehalalisha mwenyekiti akatekeleze ilani ya chama tawala ambacho walipingana nacho?
 
Back
Top Bottom