TANZIA Anna Maulidah Komu Afariki Dunia

Ntasherekea badae kwenye kuangalia derby kwa kunywa bia na kuchoma mbuzi na kuku...
 
Kuna wale watu mitandaoni wanaosema kuwa Cdm n Mpango wa Mungu
Kwahy kwa yeyote anayetaka ifutwe atafutwa yy kwanza na Cdm itaendelea kubaki

Sasa wamepata msitari wa kusimamia
 
Maisha ya hapa duniani ni mafupi sana. Sasa mama kachukua pesa za hongo ili awakwamishe Chadema, pesa kaacha wengine waendelee kula. Leo ana pigwa kifusi.
Shenzi kabisa.
Nasikia kuna na mwingine kapigwa kiharusi ana subiri kuimbiwa parapanda.
Mta kwisha wote,, mbwa nyie.
 
Anna Valerian Komu alizaliwa katika kijiji cha Okaseni, kilichopo kwenye kata ya kimanganuni kwenye wilaya ya Moshi vijinini, Alikotokea Antony Komu ambaye aliwahi kuwa Mtunza hazina wa CHADEMA na mbunge wa Moshi vijijini.
Aliolewa huko Zanzibar. Ni Mchagga.
 
This time around watu wapo serious sana! "usiketi kwenye meza za wenye mizaa..."

Zaburi 1:1
  • Wenye dharau: Watu wanaocheka au kubeza mambo au kanuni za kimaadili.
  • Wenye kiburi: Wale wanaoona kuwa wanajua kila kitu na kudhihaki ushauri wa busara au maonyo.
  • Washawishi wabaya: Kikundi cha watu kinachoweza kumfanya mtu aanze kuona dhambi au tabia mbaya kuwa ni jambo la kawaida au la kuchekesha.
 
Tuombe sana kuijiriwa na hekima ya Mungu.
Maisha ya mwanadamu ni mafupi, na kama tungelilijua hili kwa hekima, kila mmoja katika muda huo mfupi angejitahidi kutenda mema.
Tumeambiwa kuwa maisha ni fumbo, lakini kuna watu wanaamini wataishi Duniani milele..Tumeshindwa kuelewa pale tulipoambiwa kuwa ukuu wa Mungu ni wa ajabu, ebu angalia:
Mtu kama Lisu aliyemiminiwa risasi 31, 16 zikaingia mwilini, bado anaishi, halafu wengi ambao hawakuguswa hata na fimbo, hawapo tena.
Tuombe hekima:
Pesa na madaraka ni vitu vya kupita, unaweza kuhangaika sana kuvipata, tena kwa kuwadhulumu wengine, lakini mwishowe ukaviacha. Tafuta hela, tafuta madaraka kama unataka, lakini usikubali kupumbazwa akili hata ukavitafuta vitu hivyo kwa kudhulumu watu wengine.

Pole sana wanafamilia, ndugu na marafiki wa Komu. Ameimaliza safari yake, akitukumbusha tuiliopo bado Duniani.
 
Utukufu wa Mungu ni wa ajabu sana!
 
Aliyetumiwa na msajiri wa ccm should her soul rest in hottest hell.
 
rambirambi zinakusanywa chadema HQ au?

R.I.P Anna Maulidah Komu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ