Jumakidogo R I P Joined Jul 16, 2009 Posts 1,851 Reaction score 427 Nov 19, 2011 #1 Najaribu kuuvutia picha muujiza huo. Ikiwa akagombea na kupenyezwa na chama chake. Tutaficha wapi nyuso zetu?
Najaribu kuuvutia picha muujiza huo. Ikiwa akagombea na kupenyezwa na chama chake. Tutaficha wapi nyuso zetu?
Chimunguru JF-Expert Member Joined May 3, 2009 Posts 10,679 Reaction score 4,382 Nov 19, 2011 #2 No way, ntakuwa REBEL niingie msituni utakuwa ujinga saas huo
Makene JF-Expert Member Joined Nov 1, 2010 Posts 1,475 Reaction score 282 Nov 19, 2011 #3 makinda raisi, au rahisi 2015. Ila kwa nchi hii mambo ya kushangaza kama hayo yaweza kutokea, Ila huko ni kupotea kabisa njia na kupoteza ramani.
makinda raisi, au rahisi 2015. Ila kwa nchi hii mambo ya kushangaza kama hayo yaweza kutokea, Ila huko ni kupotea kabisa njia na kupoteza ramani.
Avatar Myg JF-Expert Member Joined Jan 24, 2011 Posts 675 Reaction score 118 Nov 19, 2011 #4 Watunzi wa hadithi/riwaya mna imagination za ajabu...
mwaJ JF-Expert Member Joined Sep 27, 2007 Posts 4,074 Reaction score 2,950 Nov 19, 2011 #5 Mh! Bora nisiseme kitu.
Rejao JF-Expert Member Joined May 4, 2010 Posts 9,219 Reaction score 4,087 Nov 19, 2011 #6 Jumakidogo said: Najaribu kuuvutia picha muujiza huo. Ikiwa akagombea na kupenyezwa na chama chake. Tutaficha wapi nyuso zetu? Click to expand... am happy to hear this..kumbe akipitishwa tu na chama chake ni automatically anashinda urais. Basi tz hamna upinzani, kuna wapiga bla bla tu!
Jumakidogo said: Najaribu kuuvutia picha muujiza huo. Ikiwa akagombea na kupenyezwa na chama chake. Tutaficha wapi nyuso zetu? Click to expand... am happy to hear this..kumbe akipitishwa tu na chama chake ni automatically anashinda urais. Basi tz hamna upinzani, kuna wapiga bla bla tu!
M Makamuzi JF-Expert Member Joined Oct 3, 2011 Posts 1,155 Reaction score 264 Nov 19, 2011 #7 Rejao said: am happy to hear this..kumbe akipitishwa tu na chama chake ni automatically anashinda urais. Basi tz hamna upinzani, kuna wapiga bla bla tu! Click to expand... Mzee wa ubwabwa kwa pumba kama vuvuzela la Nape
Rejao said: am happy to hear this..kumbe akipitishwa tu na chama chake ni automatically anashinda urais. Basi tz hamna upinzani, kuna wapiga bla bla tu! Click to expand... Mzee wa ubwabwa kwa pumba kama vuvuzela la Nape
M mwana wa Arusha New Member Joined Nov 20, 2011 Posts 2 Reaction score 0 Nov 20, 2011 #8 itakua faraja kwani ninaamini yeye na chama chake mdio itakuwa basi
Rejao JF-Expert Member Joined May 4, 2010 Posts 9,219 Reaction score 4,087 Nov 20, 2011 #9 Makamuzi said: Mzee wa ubwabwa kwa pumba kama vuvuzela la Nape Click to expand... Nikikuita hilo jina la wali wa nazi halafu nikatoa hiyo herufu ya mwanzo nitakuwa nitakuwa nimekutendea haki sana!!!
Makamuzi said: Mzee wa ubwabwa kwa pumba kama vuvuzela la Nape Click to expand... Nikikuita hilo jina la wali wa nazi halafu nikatoa hiyo herufu ya mwanzo nitakuwa nitakuwa nimekutendea haki sana!!!
Pakawa JF-Expert Member Joined Mar 11, 2009 Posts 8,227 Reaction score 14,195 Nov 20, 2011 #10 Waache wamuweke ndio mgombea watalia na kusaga meno maana itakuwa mwisho wa ccm milele.
K Kifulambute JF-Expert Member Joined May 8, 2011 Posts 2,539 Reaction score 764 Nov 20, 2011 #11 Najamba juu nichanike hata mk