ANNA MAKINDA hutendei haki KANUNI ZA BUNGE..,Acha UDIKTETA!

nasikia hana mume,
labda yupo vile sababu ana chuki ya kukataliwa na wanaume,
hivyo ameona bungeni ndio mahali pa kumalizia hasira zake!
 
Na kumbuka katika upigaji kura ndani ya CCM walikaa kutokana na majina ilimradi wagundue wasaliti wengine waliotaka kumleta SITTA tena ngwe ya pili.
 
Kwa kweli kanun zinakiukwa tu na Bunge linaendeshwa Kidikteta...INAWEZEKANA UMEWEKWA KWA MASLAH YA WACHACHE!

Tatizo ni busara za kiti. Sijafanikiwa kuelewa hizi busara za kiti huwa ziko kwenye sehemu gani hasa ya hicho kiti. Sijui ni kwenye miguu ya kiti, au sehemu ya kuegemea au ya kukalia au kwenye makalio ya waliokikalia?
 
ni kweli mkuu!
 
itakuwa masaburini,maana kwa maamuz wanayotoa haiko akilini
 
oyeee!
 
Je ana watoto? Je alishawahi kuwa na mume? Je ana umri zaidi ya miaka 55 ? Majibu ya maswali haya yanaweza kutupa mwangaza kwanini yuko hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…