Anna Kilango Malecela na Sefue warejeshwe kazini

Division five tayari zimeshaleta madhara makubwa, nchi imebemendwa. Ngoja tufate wataalamu toka Rwanda.
Mkuu nchi hii imeharibiwa na viongozi wetu waliotawala hii nchi kwa nyakati tofauti na wengi wao ni above 40 hao ndio waliotuleta hapa. Hao division five unawaonea tu
 
Mkuu yuko makini sana ukweli wazee wapumzike bwanA,inatosha acha vijana wafanye kazi
 
Yuache mazoea ya kukariri kuwa watu au kizazi fulani tu ndio viongozi ktk hata timu za mpira huwa na under 18 wanaotengenezwa kuchukua nafasi pindi itakapohitajika kufanya hivyo. Tanzania ya Watanzania wote hakuna haja ya watu flaniflani kufia oficn kwa uzee kisa eti ni veterani ktk uongozi, tunahitaji akili mpya mawazo mapya hasa ktk karne hii ya sayansi na technologia
 
INA MAANA WA TZ WOOOTE NI HAO TU? NDIO UNAOWAFAHAMU?
KUNA VICHWA LAKINI .......halikuli likakwisha.....
 
Mkuu umenifanya nicheke hapo penye neno veterani. Afadhali wangekuwa maveterani wa kujenga taifa wao wamekuwa maveterani wa kuharibu
 
Ombeni Sefue alikua hodari. Ukimuona katika Tv unapata mshawasha kumsikiliza.

Huyu Kijazi ni shida tupu kwakweli
Baby, nakushauri haya mambo ya siasa we yaache kwanza; hauna ngozi ngumu kama zetu, wale weh.u wa pale opposite na jingo la umoja wa vijana wakija, watakuchukuza bure. Nielewe please baby.
 
nani kakuambia kua tumekosa pumzi baada ya hao uliowataja kukosekana kazini? some people can't get enough of the national cake. idi.ot.
 

Huyo mama alifanya makosa ndio maana kaondolewa aliwahi kutoa taarifa kabla ya kujiridhisha na kupata ushauri kwa timu, so Mh Rais akapata mashaka na utendaji wake, Huyo mzee umri ulikwenda muache apumzike. Kwann unasema watumishi nchi hii ni wachache sana na wengine ni vibarua?,wale hewa kule Shinyanga walikua watumishi au vibarua? kivipi
 
We bila shaka ni Mpare pole mkuu watu hawaendi hivyo
 
Hebu waache wapumzike sasa!
 

Nashanga mie! JPM alishasema hana wataalamu wa IT ndiyo maana ya kwenda kumwomba Kagame!
Sasa kama IT wa Tanzania kazi yenu ni kuomba rushwa ya 10% afanyeje? Inabidi atumie kumbukumbu za kichwani maana yeye ni mtaalamu wa kukariri.Na matokeo yake ndiyo haya. Pengine JPM ashauriwe kumwomba Lugumi aifanye kazi hiyo maana yeye anaaminiwa na serikali yake!
 
Hata katibu Mkuu kiongozi amlete kutoka huko, hapa bongo mmmh
 
Huyo mchapa taarifa za Ikulu kazi kaipata mwaka huu manake habanduki kwenye PC yake marekebisho ni kila baada ya dakika 5. Hapa kazi tu
 
Si ungesema una bifu nae. Sasa mbona umeanzia mbali hivyo.
 
Jibu ni kuwa hakuna Malaika katika ulimwengu huu. Hili Mungu analicha litokee makusudi. Kilango alifanya kosa hata hivyo adhabu aliyopewa hailingani na kosa. Tumuombee Rais.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…