ANISAMEHE POPOTE ALIPO

ANISAMEHE POPOTE ALIPO

Mwanzo wa hii story uko wapi mwenye link aweke bc
 
NAMALIZIA USHUHUDA WANGU WAKUU NILISHINDWA KUMALIZIA KWA HOFU INAYONIKUMBA KILA NINAPOKUMBUKA HII NI STOR YA KWELI KABSA WAKUU. Tunaendelea kwa waliosoma Uzi uliopita pale nilipoishia, OK bas baada ya kushuhudia kwa macho yang mke Wangu akimpokea mwanaume wake kimahaba nje ya geti, Mimi nilikua umbali Kama hatua kumi kwenye bench LA duka jilani kabsa na alipohamia nilitetemeka kwa hasila Kali na ukatili WA kuua, Ikumbukwe kipindi chote nilikua nambembeleza Sana kupitia cm yake na mtumia SMS maana alikua hapokei cm yang nilimsihi Sana as it is he uamuzi wake maana nilikua nimehisi kuchanganyikiwa kwa kuanza kumuwinda ili ni nimuue hadharani kabsa bila hofu yoyte, lakin hakunijibu zaidi ya kumpa jamaa yake cm anitukane na kunitishia kuniua,, hapo ndipo nilipovamiwa na shetani sitasahau, nilianza kuhamisha vitu kutoka nyumba ninayoishi mapipa na kuvihamishia kwa rafiki yangu nikampokonya pipkip yang Dereva Wangu aliyekua ananiletea hesabu nikaanza kuitumia katka msako WA kumuwinda ili nijue anaposhinda am a kufanyia kazi, hapo nikiwa sijielewi nimejawa na hasira Kali na wivu hatari siku moja nikaenda mchana mahari anapoishi pale kigogo kwa kusudi nijue chumba chake, nikatumia njia ya kiungwana zaidi nikaulizia kwa mjumbe WA eneo hilo nikampata nikamweleza kua mke Wang katorokea kwenye nyumba iliyo JIRANI naomba twende unipereke nikahakikishe Kama kweli amepanga hump, mjumbe alinikubalia tulipofika tulimkuta mama mweye nyumba mjumbe akanitambulisha akaeleza wakaniuliza jina nikamtaja mke Wang basi mama mwenyenyumba akakubali akasema huyo mpangaji yupo yapata wiki sasa na chumba chake cha nje nikaoneshwa lilikua banda LA uwani japo kuna fensi ya ukuta sisi tukaondoka nikamshukuru Sana mjumbe kisha nikapanda Pikpik yang a in a ya boxer nikaondoka,,hapo ndipo safari yangu ya kwenda jera am a kabulini ndipo iliaza, nikampigia cm tena ya upendo maana sikupenda kumuua kipenzi Chang maana nilimpenda Sana japo moyo ulisema nimuue hakupokea cm nikatuma SMS nikimtahadhalisha kuhama pale anapoishi maana tupo JIRANI Sana Mimi roho inauma Sana nitamdhuru kwani tayali nimeshapajua, Mara sm yang ikaita kucheki ni yeye Ananipigia kupokea nikasikia sauti ya mwanaume inanitukana anadai yeye ndio wakati wake kula utamu WA mke Wangu, nikakata cm nilipandwa na jaziba mauti sikuigopa jera sikuigopa niliwasha Pikpik tokea mafichoni nilikokua maana nilikua nishahama pale magomeni nikaingia k.koo gerezani kutafta tindikali niliitafta kwa umakini mkubwa Sana tena kwa siri nilitumia siku mbili kutafta tindikali lakini sikufanikiwa kuipata kabsa tena nilitoa bei nzuli lakin sikufanikiwa maana nilikua na haraka, niliposhindwa njia hiyo nikaamua kukodi watu nikafanikiwa kuwapata nikawapeleka mpaka nyumba aliyokua anaishi Usiku WA SAA 5 wakaizunguka nyumba wakasema kwa pale hawezi kuingia ndani Bali watatekeleza barabalani mda anaoludi kinachotakiwa niwape ratiba yake ya kurudi kwake, kadili mipango inasogea nazidi kumsihi mke Wangu aseme wapi nimemkosea ili tuludiane maana Mimi moyo umefika mbali, lakini sikupata majibu hapo tayari anawiki mbili sipo nae, nikabahatika siku moja akashuka kwenye daladala pale chawote kigogo ili ashuke bondeni alipopanga chumba nilitupa pikipik kituoni nikamfata bondeni alipogeuka aliponiona alipiga kelele akisema ataniitia mwizi nipigwe nife endapo nitazidi kumfatilia kule bondeni, nikashituka nikaludi kwenye Pikpik yang nikakuta nikaondoka huku nalia Kama mtoto hadharani,tayali nikawa nimepata ratiba yake nikawatalifu wale wauaji maana Pesa walikua tayali nusu wamechukua, mawindo yakaanza siku iliyofuata sitaisahau ilikua j.mos mwezi WA 8 2016 tulijigawa makundi mawili wale watu WA kazi walikua wawili Mimi nikiwa msoma ratiba ilinibidi nikae kituo cha daladala endapo nitamuona niwape ishala wamfatie mpaka pondeni apako hapakua na nyumba nyingi pia hakua watu wengi pia kuna njia za kutokea barabala ya kawawa kuelekea mikumi, tumekaa mida ya SAA 12 mpaka SAA 2 Usiku kila daladala iliyokua inasimama nilikua nachungulia anaeshuka kwa making Sana tulimsumbili mpaka saa4 hakutokea jamaa wakasema mbona haonekani wakanipa ushauri tukamcheki dilishani kwake huenda katumia bodaboda kwa njia nyingne, basi nikatoka nikaenda kuchunguza dirishani hapakua na dalili zozote za uwepo wake jamaa wale wakasema Kama hatutampata Leo sisi hatutakufanyia hiyo kazi yako tutakua tumemalizana niliwasihi Sana wavumilie huenda atatokea lakin waligoma wakaondoka nikabaki peke yangu nawaza tukio lile, nikawa nimeondoka kwenda kulala gest maana chumba nilikua nimekiludisha kuepuka kukamatwa ndani, baada ya kuzidiwa na hasla na ukatili niliamua kuacha kutumia watu nikiapa kumuua kwa mikono yangu, niliandaa Pesa ya mafuta ya Pikpik yatakayonitoa jijini kukimbilia kusikojulikana na Pesa ya kujikimu huko mafichoni, siku ya talehe 10 ndio niliamua iwe siku ya mwisho Mimi kuonekana dar nilinunu visu viwili nikavinoa kuviongezea makali huku nalia kwa kumkumbuka mke wangu pia nikawa siamini kile ninachokwenda kukifanya Kama kweli ni Mimi, nikanunua Lita 3 za petrol nikanunua grovis masik Maji ya betri yaani asid Kali niabeba kibeliti cha gesi, ilipofika SAA 8 Usiku nilikodi pikpik inipeleke kigogo Pikpik yang niliificha gest nilipofika niliruka ukuta nikadumbukia ndani ya fesi kuangalia mlango umefungwa nikauvunja kupitia plaiz niliyokua mayo nikaingia ndani nikawasha taa nikakuta kuna vitu vingi amenunua ikiwemo tanda nk nikawaanza kumwagia nguo zote Maji ya betri pamoja na kuvunja vitu vya thamani ikiwemo TV radio nikachanachana vitu vyote nilikaa mpak SAA 9 Usiku nikiwa tayali kwa lolote kufa Mimi am a kufa na yoyte, NOTE WADAU NITAMALIZIA KILE KILICHOJIRI NIWATOE HOFU SIKUUA MAANA HAKUNA MTULIETOKEA NILISHIA KUMWAGA PETROL MLE NDANI CHMBA KIZIMA, NITAMALIZIA WAKUU NILIVOTAFTANA NA POLISE MPAKA KUKIMBILIA SOUTH AFRICA HUKU NILIPO
Duu
 
Back
Top Bottom