Anime

Acha tuu baada ya hapo naludia Anime zangu pendwa tuu Nkiri kwa sasa siwezi bora nilud torrent
Sema Nkiri ipi nyuma kwenye quality kuliko Awafim. Animeheaven yenyewe ina quality kubwa kuliko Awafim ila ndo unakuta Anime episode moja MB 150, MB 200 ila quality mwenyewe unaenjoy
Movie natumiaga na yts pia
Hivi kwa anime unatumia website ipi ya torrent iku siku zikifungiwa site zangu pendwa nipate pa kukimbilia
 
Nilikuwa na torrent search Engine
 
Sema Aniime Website nyingi sana ndo uzuri
 
Mkuu kwangu Mimi hii Haina mpinzani japo Kuna anime nyingi bado sijazicheki
 
Pia unaweza ku Opt Telegram.

Huwa hawakosi Anime wale Jamaa kuanzia 480p, 720p na 1080p.
 
Sijui watu hawajaiona hii blue eye samurai duuh kaa stor ilitulia yaan ilikuw siku shule inafungua ten itabid niimalize mm oya ile story y revenge ya samurai mm netflix walitulia kwa ile story had unasem mm nilikuwa wap yaan

Guys story n tamu alafu samurai n dem mm niliikubal kinyam juz apa nimetoka kuicheck tena

Mm uyo samurai n real danger n story yake sem ilikuw inaendan kidogo kaa shogun
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ